ngikangalu
Senior Member
- Aug 16, 2017
- 153
- 110
Tulicheza chini ya kiwango KBS, timu haishambulii KBS, hasa alipotoka morata, William, bakayoko, faregas na kante, walishindwa KBS kuhold mipira katikati. Tukufa katikati, kwa hali ilivyo SASA, tuna kazi ngumu sana msimu huu kutetea ubingwa WETU.