Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wachambuzi wengi wa leo wameshikwa woga na wengi wameishia kutabiri match ya leo baina ya chelsea vs man city kuwa itaisha kwa sare
Sio wao tu hata wazee wa kubeti wanachezea sare tu match ya wakubwa hawa

Na mimi nikiri pia ni match ngumu sana ambayo hata ikiisha sare yatakuwa ni matokeo bora kwa team zote 2

Match ya leo itamkosa aguero na pia itamkosa luiz

Hii ni match inayoamuliwa na wachezaji wazoefu kama watakuwa katika viwango vyao
Kama chelsea fans ningependa kuona wakishinda

Kiukweli ni match ngumu mno ila
Naamini kama ushindi ukikosekana basi sare pia itakuwa ni matokeo halali kabisa
Tuna vunja mwiko Leo.tuna muua pep.
 
Screenshot_2017-09-30-19-06-03-1.png


c20a73411168ab30006d207278d16eb4.jpg


Tactician Conte yashaanza yake. Kampumzisha Moses ili Azpilicueta ambane Sana. Naamini hapa ame-neutrilize mashambulizi yao kutoka upande wa kushoto kwao
 
Naona Man City anafungika kabisa...anyway, mpira ni dakika 90.

Tukutane tena baadaye.

[HASHTAG]#CFC[/HASHTAG] [HASHTAG]#KTBFFH[/HASHTAG]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom