Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Halina ubishi mkuu na ukizingatia ronaldo na benzema umr umeenda

Hongereni kwa ushindi wa jana sasa tushirikiane kumbana zizou yule peke yake anaonekana mtu mtu hatar ktk mashindano haya.
Kabisa kwenye haya mashindano msimu huu zidane na real madridi yake ndio tishio
Bayern yuko na hali tete
Barcelona ni messi tu
 
Haya yote ni kwasababu hataki kupitwa na mshambuliaji

Hapana Kaka, mechi ya Arsenal alikiwa na mpira na alikiwa na option nyingi za kufanya lakini alijaribu kufanya vitu ambavyo ni vigumu na huku akiwa yeye ni wa mwisho, mwisho wa siku akacheza faulo ya kijinga kabisa
 
Tatizo huwa hajulikani anaamka vipi
Kuna siku utampenda kama jana
Conte alishaona cahil na luiz wanaelekea mwisho kawatafuta vijana mapema msimu ujao wakina rudiger wataingia vizur ktk timu hata kwa sasa wanacheza vizur sana wakina rudiger sema huwez kufika ukawakuta wakongwe na kuanza yako watakimbia wenyewe tu wazee
 
Cheki watu wanavyojitoaga ufahamu......!!!!
Kama wew ni haters wa chelsea bora ukae kimya kuliko kujitoa ufahamu kama kina malafyale ambao mwisho wa siku wanabaki kunamisha vichwa chini kama makondooo wanaopelekwa Kunywa maji mto wa mguu.
108be1e2df1914812ba7726bf45d90d9.jpg
 
Kushinda rahaa sana imenifanya Leo natembea kifua mbele....Washabiki wa Man U wakisema timu yao inagawa dozi....na mimi nawaambia karibuni chelsea timu makini.
Ukiwa mshabiki wa Arsenal au Liverpool muda wowote unakuwa kama huyu ......tho umetupa Epl mara mbili lakini kutokana na ukubw wako na dharau zako na utovu wa nidhamu....tunakutakia kila la kheri....!!!
f7c6fa427d05e3de96bb290379b4f4ac.jpg
 
Kama shabiki wa mpira nakiri kuwa jana timu ya Chelsea wametudhihirisia ni kiasi gani safari hii wanamaanisha kazi,timu ina muunganiko wa hali ya juu sana.Nawaona wakifika mbali sana kwenye michuano ya Ulaya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom