Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Conte says winning goalscorer Batshuayi is improving and his commitment in training is very good. [HASHTAG]#ATLCHE[/HASHTAG]
 
That is all from Antonio Conte here but check the official Chelsea website soon for more words from the boss. [HASHTAG]#ATLCHE[/HASHTAG]
 
dd8f65ec2195873d4aff3847407bb7cd.jpg
 
Carhilk thayuko fit msimu huu, hizi ligi za ulya sio kama hizi za huku kwetu zinazotumia majna makubwa. Akae benchi mpaka atakapokuwa fit, kila mechi ni fainali na inatakwa a strong team. Kocha anawajua wachezaji kuliko sisi. Hivyo nawashangaa sana wanaomtetea Car Hill acheze wakati kwa sasa ni mzigo. Afanye mazoezi ya kutosha akiwa fit kocha atampa namba.
kwa mifano ipi unaweza kusema cahill kwa sasa ni mzigo na hayuko fit
 
Kaka naona wewe humkubali Cahill kabisa, Mbona ni neki mzuri sana. Anyway Luis naona ameanza kulegea na ndio kwa sasa anaonekana kuwa weak link, Mechi na Arsenal angetucost kwa kadi nyekundu ya kujitakia kabisa, faulo ya jana ni ya halali kabisa, nadhani anaanza kupoteza focus ya kujua makujumu yake,
Japokuwa Chelsea tunachezesha mabeki watatu nyuma, lakini mara zote kuna kuwa na sweeper au Libero mmoja na Luis ndio huwa mtu wa Mwisho, lakini kwa sasa anatucot na faulo zake zinaigharimu timu
Mkuu popote ulipo mshukuru Mungu kwamba hupotezi muda wako kuangalia mpira kwasababu unauelewa maana watu kama wewe mpo wachache sana humu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom