Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ni kweli mkuu. Imemchukua muda mfupi sana ku cope mazingira mapya. Kuhimili maneno na majungu. Ndio uzuri wa wazungu bhana

Na nilitegemea tu akirud hazard huyu dogo atakuwa free zaidi kipind kile anacheza key player wako bench hasa hazard na bakayoko dogo alikuwa na presha na timu inahitaj matokeo mwenye timu hazard hayupo
 
44CC4B1000000578-4926756-image-a-75_1506545097883.jpg


Kabla ya mechi ya leo: No English club has won away to Atletico Madrid, and their coach Diego Simeone has remained unbeaten by the English, too.
Haikuwa historia tena Bali imekuwa maumivu kwao......Chelsea siyo Timu ya kubeza always I tried to tell you.......!!!
 
Carhilk thayuko fit msimu huu, hizi ligi za ulya sio kama hizi za huku kwetu zinazotumia majna makubwa. Akae benchi mpaka atakapokuwa fit, kila mechi ni fainali na inatakwa a strong team. Kocha anawajua wachezaji kuliko sisi. Hivyo nawashangaa sana wanaomtetea Car Hill acheze wakati kwa sasa ni mzigo. Afanye mazoezi ya kutosha akiwa fit kocha atampa namba.
Daah!! Yan ungejua kama alkua target ya madrid kisilisili....
Yan Cahil naweza mfananisha na Ramos ukikaa vnaya sekunde yoyoyte anawez badili matokeo...

Namheshimu sana Mr. Captain mkuu ni hatar sana huyo mtuu....,,,
 
una matatizo yakuwa na amani wewe tunaomjua Gary Cahill tangu anahamia kutoka Bolton 2012 tunamuelewa.
Mkuu hujanielewa. Cahil ni mchezaji mzuri na beki mzuri ila akiwa anacheza na beki wanne nyuma. Kwa sasa tukiwa na beki watatu nyuma yupo aliye bora kwenye mfuo huo zaidi yake. Rudiger
 
acheni kujifanya wajuaji bana mnasahau kua cahil na luiz ndo walikua ktka safu ya ulinz had ubingwa msim uliopita
makosa madogo kwa mabeki n kawaida huez cheza msim mzima na ukawa perfect wote
kuwa na option za mabeki bac msiwaone hao n baac tena wana umuhim sana ktka kkos chetu
afu masuala ya kujifanya tunajua kupanga kikos zaid ya kocha mnazingua, kocha ndo anawajua wachezaji wake kuliko ww
afu uku kuna mashabiki uchwara sana ikitokea chelsea ikapoteza watu wanaanza lawama za kijinga tuu, achen izo bana mnaboa
ucbweteke na ufagio mpya wa zaman ndo unajua kona zote za uchafu. go go blues
 
Halina ubishi mkuu na ukizingatia ronaldo na benzema umr umeenda

Hongereni kwa ushindi wa jana sasa tushirikiane kumbana zizou yule peke yake anaonekana mtu mtu hatar ktk mashindano haya.
Safari hii atasalender tho ni mbishi na Ronaldo wake.....but any thing can happen.
 
Na nilitegemea tu akirud hazard huyu dogo atakuwa free zaidi kipind kile anacheza key player wako bench hasa hazard na bakayoko dogo alikuwa na presha na timu inahitaj matokeo mwenye timu hazard hayupo
Muda mwingine unaongeaga point sana...inabidi nikupongeze kwa hilo kama siyo hoja za kinafiki. Pili upo tofauti na kina Mkurya one na malafyale ambao hata wakizidiwa bado wana kuja na utabiri wao uchwara.....tho nimewamisi utabiri wao. "Mkurya one yeye Alisema Morata hata funga hata goli moja mpka ligi linaisha akaongeza kidogo na kusema akijitaidi sana atafunga goli moja".....Malafyale na Mkurya one...mpo wapi..?
 
Simeone said: "Chelsea were the better team. The draw was a good result for us, but at the very end they had the patience to move the ball round very well and scored at the last second.

"We couldn't really play our game because our rival was better. They had better intensity, they were better at a tactical level.

"We were never comfortable. It was a fair victory for Chelsea because they just played better."
Ndivyo inavyotakiwa ukizidiwa ukubali ujipange upya....kwa haters hii inawauma sana....!!!
 
Muda mwingine unaongeaga point sana...inabidi nikupongeze kwa hilo kama siyo hoja za kinafiki. Pili upo tofauti na kina Mkurya one na malafyale ambao hata wakizidiwa bado wana kuja na utabiri wao uchwara.....tho nimewamisi utabiri wao. "Mkurya one yeye Alisema Morata hata funga hata goli moja mpka ligi linaisha akaongeza kidogo na kusema akijitaidi sana atafunga goli moja".....Malafyale na Mkurya one...mpo wapi..?
Mkuu ma striker huwa hawapondwi hata siku moja muda wowote wanakuacha uchi mm ktk makuz yangu na kuujua mpira huwa simpondi mshambuliaji mana kuna kipindi wanapoteza fom wakiipata huwa ni shida
 
Kaka naona wewe humkubali Cahill kabisa, Mbona ni neki mzuri sana. Anyway Luis naona ameanza kulegea na ndio kwa sasa anaonekana kuwa weak link, Mechi na Arsenal angetucost kwa kadi nyekundu ya kujitakia kabisa, faulo ya jana ni ya halali kabisa, nadhani anaanza kupoteza focus ya kujua makujumu yake,
Japokuwa Chelsea tunachezesha mabeki watatu nyuma, lakini mara zote kuna kuwa na sweeper au Libero mmoja na Luis ndio huwa mtu wa Mwisho, lakini kwa sasa anatucot na faulo zake zinaigharimu timu
Haya yote ni kwasababu hataki kupitwa na mshambuliaji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom