OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
tunapambana mpaka dk za mwisho
Huyu dogo aliishawahi kusema anaichuka Chelsea nafikiri miaka kama mitatu iliyopitaDah tukimkosa chamberlain itabidi wakomae na Drink water maana naona timu imebaki na muingereza mmoja tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumekuzoea kutapatapa. Sisi ni vitendo tu. Ndani ya misimu 3 tumebeba ndoa kubwa 2 na ndogo 1 vipi wewe Amabey e siyo msimu umebeba ngapiOX kawaonyesha kama nyie ni team ya msimu tu!
Mwaka huu nafasi ya nne sijui kama mtapata
Kiungo Drinkwater ehehehe
Mkuu unasikitisha sana. Wewe saizi yako arsenal amabeye hana mpango na kombe kama wewe. Leicester city siyo saiz yako ameingia juzi ligi kuu kanyanyua kwapa juu lakini wewe toka 1990 hata lile manaloita la mbuzi bado. Couthinho kashtuka mapema kasepa paaaMorata HAWEZI wapa EPL wala champion league football mwakani!
Drinkwater kuipa ubingwa LC sisi watoto wa mjini tunaita zari la mentali
Mbona msimu uliopita na yy yupo walipigana wasishuke daraja?
Jaman Mahrez vp maana kifurushi kitakata muda c mrefu bado 2hrs eeeh