Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hapo kwa haraka haraka nimetaka wachezaji watano au 6 ka tukipata wingback wawili, kusajili idadi hiyo ni unrealistic kwa siku ya leo pekee
Mimi kama Mossad ningepick Mahrez, wingback mmoja na llorente as a backup ya Morata na leo leo ningemtoa Batshuayi kwa mkopo team yoyote inayocheza EPL coz hez noy yet ready for us
Worst case scenario ni kuweza kusajili wachezaji wawili kwa leo, i would go for mahrez and one wingback who can play on both flanks kama danilo anavyoweza kufanya then ntakua nasali kuomba Kante, Morata, Alonso na Moses wasiumie msimu huu
 
7e81ca567581316c8c69733173212bc7.jpg
 
Hivi unatumia akili kweli drinkwater ameshatwaa taji la epl akiwa na leicester city lakini oxlade halijui wala hajawahi kulitwaa akiwa na arsenal
Leo anaondoka arsenal ambayo haitwai kombe ameenda kwa vilaza liverpool ambao toka 1990 hawajawahi kutwaa epl mnasindikiza tu

Amini usiamini tunatetetea taji letu
Na liver msimu huu tutawanyoa nje ndani nakuambia
Daaah....maneno kama yanachukuwa ubingwa...!
 
Daaah....maneno kama yanachukuwa ubingwa...!
Am Chelsea fans br kma umepaniki HIV mpira cyo wachezaji wazuri ndio wanacheza mpira ni chemistry tu ingekuwa majina BC Argentina wangekuwa wanachukua ubingwa kila Leo Portugal nao Belgium nao wanawatu wakazi sana lakin hawana lolote mpira kuelewana tu mwaka Jana tumechukua ubingwa kwa wachezaji gani kaka tutulie tutacheza tu mpira

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom