Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

mahrez wa nini???? atakuja cheza namba ya nani pale mbele????
kwanza mahrez mvivu sio mpambanaji so acha aende hata asenali ndo akapotelee huko.


Ww humjui vzr Mahrez
Ngoja aje ndo utamjua vizuri conte

Wenye jicho LA tatu wamenisoma
 
Ww humjui vzr Mahrez
Ngoja aje ndo utamjua vizuri conte

Wenye jicho LA tatu wamenisoma


aje wapi mkuu???
dirisha ndo linafungwa bado nusu saa tu.
mbele tuna congestion ya watu tena wazuri.
kama unampenda sana mahrez muite kwenu mnywe nae chai.
 
Transfer News Live‏ @DeadlineDayLive
1f4dd.png
DEAL DONE: Chelsea have signed Torino full-back Davide Zappacosta for €28m. (Source: @TorinoFC_1906)

DIlyDvaXcAEz_77.jpg:large
 
Mkuu unasikitisha sana. Wewe saizi yako arsenal amabeye hana mpango na kombe kama wewe. Leicester city siyo saiz yako ameingia juzi ligi kuu kanyanyua kwapa juu lakini wewe toka 1990 hata lile manaloita la mbuzi bado. Couthinho kashtuka mapema kasepa paaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Coutihno kasepa kwenda wapi?
Mm nimechukua Champion League ktk modern football!
Chelsea wachezaji wameishtukia kama ni team ya familia sio taasisi
OX kaikataa
Barkley jana kaikataa
Llorient jana kaikataa
Team itakuwa ya 10 mwaka huu
Morata hawezi kukua CL football
 
Coutihno kasepa kwenda wapi?
Mm nimechukua Champion League ktk modern football!
Chelsea wachezaji wameishtukia kama ni team ya familia sio taasisi
OX kaikataa
Barkley jana kaikataa
Llorient jana kaikataa
Team itakuwa ya 10 mwaka huu
Morata hawezi kukua CL football
Wewe wasema oxlade ni garasa tu Mungu katuepusha nalo bora hata bakley mara 100 kuliko oxlade
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom