eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Ukiona hivyo ujue zilikuwa tetesi tuKila mnaemtaka anapitiwa.
Hakuna ambaye tunamtaka halafu tumkose we subiri mpaka saa 7 usiku
Utapata majibu
Ukiona hivyo ujue zilikuwa tetesi tuKila mnaemtaka anapitiwa.
Nahis kuna kampeni maaaana km sielewi hvKila mnaemtaka anapitiwa.
Anafanyaje?Mahrez ameonekana uwanja wa ndege wa barcelona
Hyo ndio mike kichwa ngumu![]()
Chelsea supporters wanamlaumu Elemano kwa timu kushindwa kupata top targets
Sasa hii tamaa kwa Barcelona. Liver wanataka. L City napo wanataka kumchukua MahrezMahrez ameonekana uwanja wa ndege wa barcelona
Pauni milioni 23 zinamtoa david zappacosta kutoka Torino kwenda chelsea
Tayari deal limekubalika
Huyu ni beki wa kulia


Kwani nyie mpk sasa mmesajili wachezaji wangap?Kila mnaemtaka anapitiwa.
Sasa mnatofauti gani na sisi?Wa nne.
Sasa mnatofauti gani na sisi?
Cabba, Morata, Baka, Rodriguez ....
Izo unazoskia ni tetesi tu kama kwenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dili za uhakika zilizofeli ni mbili tu Lukaku na Ox basi ..nyingine tetesi.Mlitaka wanne?
Dili za uhakika zilizofeli ni mbili tu Lukaku na Ox basi ..nyingine tetesi.
Sent using Jamii Forums mobile app