ENZO
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,248
- 1,745
Asante mungu ........![]()
Mwenyewe anadai anataka kwenda liver ikishindikana anabaki arsenal
Asante mungu ........![]()
Mwenyewe anadai anataka kwenda liver ikishindikana anabaki arsenal
Asante mungu ........![]()
Mwenyewe anadai anataka kwenda liver ikishindikana anabaki arsenal
Hahahahaha........... yaani jamaa huwa simkubaligi hat kidogo.![]()
![]()
maombi yamefika enzo
Hivi unatumia akili kweli drinkwater ameshatwaa taji la epl akiwa na leicester city lakini oxlade halijui wala hajawahi kulitwaa akiwa na arsenalOX kawaonyesha kama nyie ni team ya msimu tu!
Mwaka huu nafasi ya nne sijui kama mtapata
Kiungo Drinkwater ehehehe
Morata HAWEZI wapa EPL wala champion league football mwakani!Hivi unatumia akili kweli drinkwater ameshatwaa taji la epl akiwa na leicester city lakini oxlade halijui wala hajawahi kulitwaa akiwa na arsenal
Leo anaondoka arsenal ambayo haitwai kombe ameenda kwa vilaza liverpool ambao toka 1990 hawajawahi kutwaa epl mnasindikiza tu
Amini usiamini tunatetetea taji letu
Na liver msimu huu tutawanyoa nje ndani nakuambia
Morata HAWEZI wapa EPL wala champion league football mwakani!
Drinkwater kuipa ubingwa LC sisi watoto wa mjini tunaita zari la mentali
Mbona msimu uliopita na yy yupo walipigana wasishuke daraja?
mbona kwa liver haijawahi kuwa zali au mnafikiri mazali yanakuja mkiwa mmelala tu Wachezaji tutapata tena watatu wala usijaliwadau leo ndiyo mwisho wa usajili sijui kama tutapata mchezaji wa kusajili
- Chelsea 
- Chelsea 
- Chelsea 
OX kawaonyesha kama nyie ni team ya msimu tu!
Mwaka huu nafasi ya nne sijui kama mtapata
Kiungo Drinkwater ehehehe
Wewe ndo mavi ya kuku hivi kati livefool na chelsea team ipi inaweza kuipa nafasi ya kuchukua EPL,kama huna uhakika waulize wanaokuzidi umri.liverpool 27yrs=0 epl title,Chelsea 5yrs=2 EPL title.OX kawaonyesha kama nyie ni team ya msimu tu!
Mwaka huu nafasi ya nne sijui kama mtapata
Kiungo Drinkwater ehehehe
Guys deal ya Ox i really wish ingetokea but there is no regrets na hatutakiwi kujilaumu for a choice he made
Ox ni mzuri but as a wingback, kafanya vizuri wenger alivyo switch our formation mwisho wa msimu but as a normal winger au midfield chamberlain is not that creative, hajawahi kuni impress kabla hajaanza kucheza wingback
Yeye kataka kucheza midfield, sisi tulimtaka as a wingback, demand zetu hazijameeet, we did our best and there is no regret
Kwa kiungo mshambuliaji na creativity Ox anazidiwa sana na Barkley, kama lengo nikuongeza English Quota kwny team bora tumchukue Barkley ana potential sana