eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
ferge alisema ivoivo msm ulopitaYan chesshit kwakujifariji
Kwamchezo ule kama majimaji fc nakuapia amna chenu hata big4 hampo
Mark my words
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi kumkubali Oxlade.. Ni mimbio tu.. Heri ameenda huku LiverWewe wasema oxlade ni garasa tu Mungu katuepusha nalo bora hata bakley mara 100 kuliko oxlade
Sijawahi kumkubali Oxlade.. Ni mimbio tu.. Heri ameenda huku Liver
Vipimo vilikataa ni majeruhi yule
Wewe wasema oxlade ni garasa tu Mungu katuepusha nalo bora hata bakley mara 100 kuliko oxlade
Sijui mnakiona ninachokiona mimi. ila mtakiona katika michezo ijayo. Kama Drinkwater akipona na akawa fiti 100% basi Chelsea eneo la katikati litakuwa kama eneo la ufalme..... Muunganiko wa wanadamu hawa sina shaka na aina ya uchezaji wao, shaka yangu ni namna Bakayoko atakavyotakiwa kutumia nguvu kubwa kuvunja muunganiko huu.... Wamecheza pamoja Msimu mzima, wametesa viungo wa upinzani pamoja, wameshinda pamoja, wamechukua ubingwa pamoja na sasa wamerudiana na kuamua kucheza pamoja...
Hela ya matic ndio tumenunua kunywa majidrink water mtu wa kazi huyo acha aje, kiungo kitaimalika sana.
welcome drink water.
Kutoa pesa nyingi hakumaanishi mchezaji hawezi kuwa garasa, na uzuri Chelsea tuna rekodi nzuri katika kulipa hela nyingi kwa magarasa, kwa hiyo kama Garasa hili limetupita pembeni kwetu ni habari njemaKama ni garasa mngetoa £40m ?
Kutoa pesa nyingi hakumaanishi mchezaji hawezi kuwa garasa, na uzuri Chelsea tuna rekodi nzuri katika kulipa hela nyingi kwa magarasa, kwa hiyo kama Garasa hili limetupita pembeni kwetu ni habari njema



Ni kama zile mbichi za Depay, mbichi za vile acha zitupite tu ... Sio kutoa pesa nyingi halafu mchezaji anakuja kuruka ruka msimu mmoja huku mnajilamu tulimnunua wa niniSizitaki mbichi hizi![]()