Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

atachukua 'pogba na lukaku.
morata mlimcheka alivokosa penati, vipi lukaku wenu tena?????
Morata alikosa penalty ambayo ingewafanya mbebe CS, lukaku kakosa penalty kwenye ligi na hakijaharibika kitu, 3pts na 2gls

Slippy Gerald, you served football.
 
Dah naskia liver wanamchukua Chamberlain. .ina maana washatupiku?

Mbona kama tumezubaa sana msimu huu?

Tatizo ni uongozi au timu hazitaki kutuuzia wachezaj wao?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani kila chelsea ikichukua ubingwa wa epl basi msimu unaofuata tunazembea kwenye usajili. Conte amesema anataka wachezaji wengine 4 ili aongeze nguvu kwenye kikosi. Msimu uliopita chelsea ilitumia wachezaji 13 tu kwenye msimu mzima, msimu huu tuna mashindano mengi hivyo itakua ngumu kwa wachezaji tulio nao.

Nadhani umefika wakati sasa mmiliki atafute kocha anayeweza kutumia wachezaji vijana maana chelsea academy na scouting team inafanya kazi nzuri ya kuleta vijana ila timu kubwa hawapewi nafasi. Nawaangalia tammy abraham, loftus-cheek, ake na chalobah kwa umakini msimu huu kisha utagundua jinsi tulivyozembea.

Kwa siku chache zilizobaki nadhani wajitahidi kuongeza angalau mchezaji mmoja kila nafasi ili mambo yawe msawazo. Win,loose aor tie chelsea till i die. Blueblood.

Msimu huu tunachukua tena
Hao waliotangulia ni baiskeli ya miti
 
CHELSEA Vs EVERTON - EPL
d0428120c20f64592640aad8180d1a7c.jpg

Substitutes v Everton - Caballero, Christensen, Tomori, Bakayoko, Kenedy, Musonda, Batshuayi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom