fablo can
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 1,222
- 1,267
Naona umeamia Spurs. Msubiri next weekend akutekenyeCome on Tottenham.....!
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona umeamia Spurs. Msubiri next weekend akutekenyeCome on Tottenham.....!
Sawa mkuu. Na ubovu wake tumeshinda. Ila mtampenda tu soonHongereni mmeshinda ila Bakayoko hamna kitu afadhali ya Matic![]()
Hawana la kusema wanaugulia chumbani. Hawaamini kilichotokeaKuna mtu mwenye swali.?
We are blues.
Jogoo mwenyewe alikuwa mdogo kwa waliokosa mtatusamehe.msubiri wiki ijayo.in shaallah.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dirisha la usajili linakaribia kufungwa, tutaipenda kwa lipi? Wakati pengo la kiungo linaonekana?
Jamaa katoka injured Leo kacheza big match mechi unategemea nin hapo subiri utaona utamu wakeDirisha la usajili linakaribia kufungwa, tutaipenda kwa lipi? Wakati pengo la kiungo linaonekana?
Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsea have never lost first two opening EPL games....
Uwanja Spurs Wameupiga Tanganyika Jeki Roho Mkononi Tu
Spurs Wana Kona Kumi Na Mbili Yani Kila Mchezaj Wa Spurs Kapiga Kona Moja Sisi Chelsea Mbili Tu
Safi sana Spurs, bado moja la ushindi weekend iishe vizuri
at the end matokeo yakoje????
Hali ya mchezo haiendani na score board..
Pamoja Sana Mkuu Toka Gem Ya Burnley Mliyofungwa Nilipita Hapa Nikawaambia Mmejitahid Sana Niliona Ile Gem Ki Ukweli Chelsea Ni Timu Ngumu Sana Mnapambana Huu Moto Uende Had Eufa Timu Za England Zirudishe Ule Utawala Wa Kucheza Wao Final Na Nusu Palinoga Sana.
Dah hongera sana chama langu..
Ndiyo narudi hapa kutoka ibadani ngoja nipitie walau previews kabla sijaja kumwaga mchango wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app