Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

The blues wenzangu tugawane haka kakuku japo kadogoo....

4886f3670d621d9ed2a5255c9d6522dd.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thierry Henry on Chelsea: "Lions remain lions despite the conditions. They have it in their crest. They had something special today. The result it had nothing to do with Wembley. We had questions after the Burnley game and they answered today." [HASHTAG]#SKY[/HASHTAG] SPORTS
 
Wachambuzi uchwara wanadai Chelsea hawaku deserve ku win ...imetokea tu

Ukizingatia wengi wao ni mashabiki wa man na arsenal.

Sasa Chelsea wamedhibitisha kuwa mpira ni uwanjani tena dkk 90+ na sio kwenye uchambuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ki Mpira Hawajakosea Mkuu Spurs Alitakiwa Kushinda Kila Kitu Walikua Nacho Ila Chalsea Kapata Matokeo Tu Hata Wewe Unajua Nani Kaupiga Mwingi Ukiangalia Ball Possetion
 
Ki Mpira Hawajakosea Mkuu Spurs Alitakiwa Kushinda Kila Kitu Walikua Nacho Ila Chalsea Kapata Matokeo Tu Hata Wewe Unajua Nani Kaupiga Mwingi Ukiangalia Ball Possetion
Spurs walikaa na mpira ni mkweli, chelsea walitumia weledi, na mwisho wa siku mshindi ni yule aliyefunga goli nyingi na sio possession, hiyo ndio futiboli
 
Morata Vs Tottenham
amazing skills, crazy skills, magic show, dribbling, speed, passing & vision HD
a3be757de51fa7c516cf4f0e2c11b278.jpg

Yes am cunt, next question?
 
Ki Mpira Hawajakosea Mkuu Spurs Alitakiwa Kushinda Kila Kitu Walikua Nacho Ila Chalsea Kapata Matokeo Tu Hata Wewe Unajua Nani Kaupiga Mwingi Ukiangalia Ball Possetion
Mkuu unachosema ni kweli lakini ilitubidi kucheza vile kwa sababu majeruhi ni wengi wengine bado hawajawa fit 100% ila cha msingi point 3.

Ila mpaka sasa nahic Conte kuna kitu anawalisha wachezaji yani kuna kitu anawataka wafanye bado hawajaki master. Time will tell. We'll be stronger than ever.
 
Ki Mpira Hawajakosea Mkuu Spurs Alitakiwa Kushinda Kila Kitu Walikua Nacho Ila Chalsea Kapata Matokeo Tu Hata Wewe Unajua Nani Kaupiga Mwingi Ukiangalia Ball Possetion
Manure msimu ulioisha mlikuwa mnaongoza ball possession 78% 22% kila mechi na bado mnafungwa acha kujitoa ufahamu mkuu kuwa huyakumbuki ya kwenu. Jana ilikuwa 65% 35% na chelsea wakashinda nani mwenye mbinu?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manure msimu ulioisha mlikuwa mnaongoza ball possession 78% 22% kila mechi na bado mnafungwa acha kujitoa ufahamu mkuu kuwa huyakumbuki ya kwenu. Jana ilikuwa 65% 35% na chelsea wakashinda nani mwenye mbinu?.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuwa Mtu Wa Mpira Ukiandika Jina Vibaya La Timu Brand Inashuka? Sionag Mantik Ya Kuandika Eti Chelshit Inasaidia Nini? Haya Mambo Yapo Facebook Wenzio Tunaandika Chelsea Tena Vizur Tu Kiroho Safi Kama Club Cha Mpira Kuwa Broo Mpira Mchezo Wa Furaha

Kwa Kukusaidia Hatukufungwa Tukiwa Na Hizo Possession Ulizoandika Tulifungwa Mech Ya Chelsea,man City,watford,arsenal Na Spurs Fuatilia Tuliongoza Possetion?
 
Mkuu unachosema ni kweli lakini ilitubidi kucheza vile kwa sababu majeruhi ni wengi wengine bado hawajawa fit 100% ila cha msingi point 3.

Ila mpaka sasa nahic Conte kuna kitu anawalisha wachezaji yani kuna kitu anawataka wafanye bado hawajaki master. Time will tell. We'll be stronger than ever.

Point Mkuu Sema Cha Muhimu Ni Matokeo Point 3 Hayo Mengine Huangaliwa Ktk Uchambuz.
 
Bado anatakiwa asajili watatu
Kiungo,mshambuliaji na beki mmoja wa ziada
Yeaaaaaaaah.... This is Chelsea"
Luiz, Azpilicueta, Rudiger, Moses, Alonso, Christensen, Kante, Bakayoko hawa wanadamu laiti kama wangechoka kama Willian na Morata basi nadhani hadithi zingekuwa nyingine. Kuna wakati Tottenham Hotspur walikuwa hawajui chakufanya japo mpira ulikuwa chini ya miguu yao.

Chelsea walikaa kwenye njia zote za mipira ya Tottenham Hotspur, waliamua kuwafanya Spurs wacheze tu mpira mbele ya eneo la hatari la Chelsea bila mafanikio yeyote(hii tunaiita mbinu vitani).... Kuna wakati kila mtu alitamani Spurs acheze kama walivyocheza, ila kuna wakati watu walichukizwa na namna Chelsea walivyocheza na kumaliza mchezo.... Raha ya mpira huu ni swahiba aliyeshangilia ushindi wa Chelsea, huku akiwatusi Chelsea pia kwa kuchana mkeka wake (hii tunaiita chagua moja).

Chelsea walikuwa bora zaidi ya Spurs kimbinu, walifanya pressing kuanzia katikati ya uwanja, wakaziba mianya yote ya mpira na kuwafanya Spurs kupiga back pass nyingi ambazo zilikuwa hazina faida.... Alichokikosa Spurs ni Dembele mwingine ukiachia Yule wa kwanza, kwamaana ukiachia Dembele hakukuwa na mtu mwingine aliyekuwa anatembea na mipira kwa upande wa Spurs, ila viumbe hawaaaa kante na Willian hawa walikimbia na mpira mara nyingi zaidi na walikuwa wanaweza kuwakimbiza walinzi wa Spurs mara nyingi zaidi walipohitajika kukimbia.

Kuanza na watu 6 wenye kaliba ya ukabaji ilikuwa sehemu ya kwanza ya ushindi kwa Conte wetu. Spurs wameondoka na possession zao ila Chelsea wameondoka na alama zao 3. Njia rahisi ya kupigana vita ni mbinu... Master tactician Anthony Conte.

Miguu ya Marcos Alonso imeokoa sura ya Batshuay kwa siku ya jana..... Kidogo tu ingegeuka, na hii ingekuwa zamu ya Morata kumcheka Batshuay
 
MAJEMBE YA CHELSEA YALIYOKO MKOPO:

Baada ya furaha kuibuka tena upya jana baada ya Mzee mzima Alonso kutupia la pili lililowakata maini spar's - Huko kwengine hebu yacheki MAJEMBE yetu yalivyokuwa uwanjani duniani kote.

Premier League - wiki hii Majembe 4 yalikuwa uwanjani kama ifuatavyo.
1. Zurt Zouma - Stoke City. Arsenal akakaa 1-0
2. Ruben Loftus-Cheek Crystal Palace's iliyokubali kichapo kwa Liverpool
3. Tammy Abraham alicheza dakika 82 kwa game ya Swansea City's iliyokubali kichapo cha 4-0 toka kwa Man
4. Kasey Palmer, sub iliyoingia dakika ya 72 kwa Huddersfield’s iliyoshinda Newcastle 1-0

Kwingineko - nje ya Uingeleza mambo ni hatari pia, vijana wetu wanapiga kazi kama walivyotumwa na club yao:-

Jamal Blackman
kipa wa Sheffield United alikuwa uwanjani.
Ola Aina na Michael Hector walicheza kwa Hull City's
Lewis Baker aliingia kipindi cha pili kwa Middlesbrough
Lucas Piazon aliumia enka ya kulia kwenye game na Fulham's (habari mbaya)
Tomas Kalas alicheza dakika 90 kwa game na Sheffield Wednesday,

Jay Dasilva alikukwa vitani na Charlton Athletic ambapo walishinda in their 4-1
Bradley Collins’ alikuwa uwanjani na Forest Green ligi daraja na Pili UK.

Wengine kwa Majina tu waliokuwa uwanjani weekend hii iliyopita. Unaweza kuwafatilia zaidi.

Nathan Baxter
Jared Thompson
Fankaty Dabo
Charlie Colkett
Matt Miazga
Marco van Ginkel
Todd Kane
Mario Pasalic
Victorien Angban
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom