Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu Mlikimbia Hapa Tulikuwa Na Eden Kimario Tu Hongeren The Blues Naona London Yote Mmeimeza Arsenal,crystal Palace,west Ham Na Spurs Mwenyewe Wamedundwa.

siwezi kimbia mkuu, nili concentrate kuangalia game.
now ndo nimetia team hapa. mtakimbia wenyewe kama spurz.
 
Hahahaha Ila Mi Ki Ukweli Mech Ambayo Sipendi Nikutane Nayo Ni Chelsea Tena Darajan Akiondoka Hazard Ntakuwa Na Aman

saizi kaongezeka musonda.
 
Kikosi chetu leo
d3fac07d8bb2e939e1c9ab0b5849c143.jpg
Cahili akirudi hapa namba hana kabisa ni mwendo wa benchi tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom