radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Tutakaza tu tottenham wakijisahau imekula kwao
Mi Nimeshika Rozali Hali Mbaya Japo Tunaongoza
Tutakaza tu tottenham wakijisahau imekula kwao
Cha muhimu sasa hivi ni kuzuia kwanzaKikubwa beki pale nyuma wahakikishe hakutibuliwi na mbele mashambulizi kwa fass
Ngoja tuchek kipindi cha pili timu bado inajipanga tofauti na nyie bhana.
Acha dharau this is chelsea mkuuYani Kama Vile Spurs Anacheza Na Hull City Au Sunderland Kumbe Chelsea Chama Kubwa.
Asante kwa tathimini.. Endelea na UpdatesNaona mmeibuka mafichoni. Well mmejipanga vizuri hapo katikati,kiwango chenu cha ulinzi ni cha mabingwa,so far good enough.
Hata wawe nazo ishirini ni kukaba tuSpurs Wana Kona Kumi Na Mbili Yani Kila Mchezaj Wa Spurs Kapiga Kona Moja Sisi Chelsea Mbili Tu
Acha dharau this is chelsea mkuu
Batshuayiiiiiiiiiii
Michi ni mpuuzi sanaMkuu Hii Sub Imetugharimu Daaa
1-1 Batshuayi confused where he is supposed to score.Asante kwa tathimini.. Endelea na Updates