Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mlianza kushinda match kama kawaida yenu tatu au nne kama sijakosea

Kweli mkuu tulianza vizuri hivi hivi kabla ya ninyi kuja kututoa mstarini na zile 4. Ila kwa sasa sisi ndo tunatoa 4 na tuna kikosi kilichoshiba. So this time I hope itakuwa tofauti.
 
Mlianza kushinda match kama kawaida yenu tatu au nne kama sijakosea


Mkuu Mgeni Na Epl Nn Manchester Kashinda Sana Tu Mech Za Mwanzo Ni Gem Moja Tulifungwa Mwaka 2009 Na Burnley Ya Ufunguz Ila Tulibeba Ndoo Kumbuka Manchester Sio Timu Ndogo.
 
Hiv ww umeanglia mechi au morata alikua bench la timu gan? Jbu swal

Mkuu mechi nimeangalia, Hamorata nimemuona dk 10 kabla ya kuwa subbed, sasa ukiniambia alianza sikuelewi maana mfano kipindi chote cha kwanza sijamuona kabisa.
 
Nina swali mkuu,
1. Ule uwanja ulikuwa vizuri kweli au ulinyanyuliwa upande mmoja???
2. Kwanini Morata hamumuanzishi? why leo kaanzia benchi
Ile inaitwa TACTICAL MASTERCLASS! from MasterTactical Antonio Conte, ukiangalia kikosi kizima kilikua kina beki wangapi, defensive mid. wangap utaelewa, wasiojua mpira ndio watauliza hilo swali!! .......... najua baada ya hii comment yangu utajiona bonge la ........
 
Hatujalala mkuu, nimesema nina majukumu kidogo hata Mechi siangalii

Pamoja Sana Mkuu Toka Gem Ya Burnley Mliyofungwa Nilipita Hapa Nikawaambia Mmejitahid Sana Niliona Ile Gem Ki Ukweli Chelsea Ni Timu Ngumu Sana Mnapambana Huu Moto Uende Had Eufa Timu Za England Zirudishe Ule Utawala Wa Kucheza Wao Final Na Nusu Palinoga Sana.
 
Hapa Umekengeuka Lig Iliyoisha Manchester Alitoa Droo 12 Na Hizi Timu Anazozipiga 4 sasa ina maana bila suluhu alikuwa above chelsea
2c6d5b8e2517e6e64ad27b684d3b57dc.jpg
Ujumlishe vyema kisha niambie nani angekuwa Bingwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom