eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Hakuna shidaKeep the updates coming, mate. Wengine tumeshindwa kidogo leo kuangalia mechi
[HASHTAG]#KTBFFH[/HASHTAG]
Hakuna shidaKeep the updates coming, mate. Wengine tumeshindwa kidogo leo kuangalia mechi
[HASHTAG]#KTBFFH[/HASHTAG]
Mkuu wajionaje hali.? Baridi au joto
Mkuu wajionaje hali.? Baridi au joto
Kabisa mkuu hii ni match maalumu ya kutupa confidenceAlonso safi sana hii game tukishinda game nyingine zote ngumu tutakua na confidence kubwa !
Naona mmeibuka mafichoni. Well mmejipanga vizuri hapo katikati,kiwango chenu cha ulinzi ni cha mabingwa,so far good enough.Mkuu wajionaje hali.? Baridi au joto
Hali ya mchezo haiendani na score board..Uwanja Spurs Wameupiga Tanganyika Jeki Roho Mkononi Tu
ShubamiitNaona mmeibuka mafichoni. Well mmejipanga vizuri hapo katikati,kiwango chenu cha ulinzi ni cha mabingwa,so far good enough.
Tutakaza tu tottenham wakijisahau imekula kwaoHuyo kijana wenu kapiga banana kick nzuri sana wacha niwapongeze kwa hilo. Ila game ngumu mkaze buti kweli jamaa wana shambulia kama nyuki
Ni moja ya mbinu katika mchezo mkuuHali ya mchezo haiendani na score board..
Anaefunga goli linalofuata anashinda hii mechi.Tutakaza tu tottenham wakijisahau imekula kwao
Kweli mkuu.. Tumetepeta kwenye kiungo na ndio maana mabeki wanazidiwa. Kama tutaendelea ivi Morata hatapata mipiraUwanja Spurs Wameupiga Tanganyika Jeki Roho Mkononi Tu
Ngoja tuchek kipindi cha pili timu bado inajipanga tofauti na nyie bhana.Naona mmeibuka mafichoni. Well mmejipanga vizuri hapo katikati,kiwango chenu cha ulinzi ni cha mabingwa,so far good enough.
Ahsante mkuu,Naona mmeibuka mafichoni. Well mmejipanga vizuri hapo katikati,kiwango chenu cha ulinzi ni cha mabingwa,so far good enough.
Ni bora kuliko kufungwaKweli mkuu.. Tumetepeta kwenye kiungo na ndio maana mabeki wanazidiwa. Kama tutaendelea ivi Morata hatapata mipira
Kikubwa beki pale nyuma wahakikishe hakutibuliwi na mbele mashambulizi kwa fassKabisa mkuu hii ni match maalumu ya kutupa confidence