eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Mimi toka mwanzo alipokua anakuja sijawahi kumponda kwa sababu sijaanza kumjua au kumuona akiwa Real Madrid. Nilijua tumelamba DumeHaya mchambuzi anaendana na pesa mlipomuona kafunga goli ila hapo awali hamkuongea hivyo.
Msimu uliopita hakuna timu ya top 4 iliyompiga Burnley nje ndani. Usiwaite watoto bhana. Shughuli yao usije kuifananisha na timu nyingine bhana.twende mbele kisha turudi nyuma jana watoto wamekuaibisha bingwa
hawana huruma kama mangariba
Yaani ww mungu anakuona leo wallah
Sahau KABISA icho mkuu ...kikosi chetu kilivyo kikikutana na man u mtaelewa tu.Next uko na Totenham, hawa watapiga goli 10.
Mkuu we waache tu naona wanachungulia tu hahahahaaa kawaziba midomo
Huyu ndo anajua mpira. Hongera mkuu kwa maoni pevuAmefanya vizuri na record yake ni nzuri. It not all about scoring goals but also how your lead the line and bring others into play, hold up the ball and chasing lost causes. He is very good player, lakini let judge him at the end of the season
Hili Chama likifungwa jirani yangu lazima kwake afanye sherehe tuu na pilau juu juuTeam inayowanyima usingizi makocha na mashabiki kutoka timu pinzani ni Chelsea pekee na ndo maana ikifungwa na team yoyote inakuwa story. Lakini timu kama Manure, liverloser, Arsenali, Mancity au TOT hata wakifungwa 5 au 7 ni kawaida. Ngoja chelsea afungwe kudadeki.....!!!
Gari la shamba hilo.Mkuu we waache tu naona wanachungulia tu hahahahaaa kawaziba midomo
Mkuu karibu nyumbani Leo tumechinja ng'ombe. Njoo tusherekee tuu usiogope
Kule kwetu kuna sherehe,Sahau KABISA icho mkuu ...kikosi chetu kilivyo kikikutana na man u mtaelewa tu.
Ngoja kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app