Hata msimu ulioisha mlisema atakuwa wa kwanza kutimuliwa baada ya vipigo vya liverpool na arsenal
So endeleeni na utabiri wa conte kufukuzwa
hili ni jukwaa la Chelsea na jana mmekufanext match unafungwa na nani?????? maana ndo wanavouliziwa asenali wakiwa wanacheza.
ALVARO MORATA-30mins 1 goal+1 assist.
gobole la kuulia tembo Burnley walilitumia kuua nyani
damu tu ndio zilizooneka
Chelsea without Edwin Hazard, and proper fullbacks ni average team. Ngoja tuone kama Morata ni kama Diego Costa.
kwani hili jukwaa la timu gani ??kiongozi hivi uropa umepangiwa kundi gani??????
maana december pumzi ikikata uwe unajiliwaza na uropa kwa kuzionea team za ndondo kama zorya fc.
hili ni jukwaa la Chelsea na jana mmekufa
hahhaahaaahhaa
ramsey juzi kashinda chelsea jana mmekufa
kwani hili jukwaa la timu gani ??
Arsenal tumepiga mbwa juzi
kwasasa tuongelee chelsea kama hutaki sema
Edwin hazard ndo nani?Chelsea without Edwin Hazard, and proper fullbacks ni average team. Ngoja tuone kama Morata ni kama Diego Costa.
ALVARO MORATA-30mins 1 goal+1 assits.
unataka uone nini tena zaidi ya hapo?????
wewe team gani kiongozi???? na striker wako kafunga goal ngapi??? tuamzie hapo kwanza.
Amefanya vizuri na record yake ni nzuri. It not all about scoring goals but also how your lead the line and bring others into play, hold up the ball and chasing lost causes. He is very good player, lakini let judge him at the end of the season
Hahahaha aiseee hamna kitu kama hiyoMourinho kamnunua refa leo.
Kwa kweli msimu huu tunakazi sana best maana mambo si mambo
twende mbele kisha turudi nyuma jana watoto wamekuaibisha bingwausiseme chelsea, sema ''defending champions"
sisi ni defending champions so ukianza kutuongelea weka heshima mbele.
wewe una umri wa mtu anayekarbia kubalehe hujashika hilo kombe.
Naomba kujua msimamo wako wa msimu huu uko kipande ganiNipo hapa mkuu, umemuona morata??????????
kuna mwenye tatizo na uwezo wa morata huko??????
hizo ni salamu tu kwa haters.
Hiyo inaitwa roho mbaya khaaa
Kufungwa ni kawaida ndugu labda mpira huujuiChelsea without Edwin Hazard, and proper fullbacks ni average team. Ngoja tuone kama Morata ni kama Diego Costa.
Kufungwa ni kawaida ndugu labda mpira huujui
Chelsea kufungwa ndio imekuwa team ya kawaida
Naomba kujua msimamo wako wa msimu huu uko kipande gani
twende mbele kisha turudi nyuma jana watoto wamekuaibisha bingwa
hawana huruma kama mangariba