Hizi dua za kuku kwa mwewe.december mtaanza mtukana huyu.
Kwani Ronaldo siyo world class player? Mbona mechi na man alianza benchi?Ni chelsea pekee ambapo world class striker ananzia benchi
Timu gani EPL ina full backs waliokamilika kwa kiwango cha Luiz, Azpilicuta na Cahili?Chelsea without Edwin Hazard, and proper fullbacks ni average team. Ngoja tuone kama Morata ni kama Diego Costa.
mkuu hapo kwa matic uongozi wa chelsea umeonesha upuuzi sana,
unamuuza matic unambakisha fab??????
Hiyo namba ya Luis haiwezekani kubadilishwa
Christensen acheze na kante, halafu Luis arudi kwa azipculeta na rudiger
Sawa mkuuChristensen acheze na kante, halafu Luis arudi kwa azipculeta na rudiger
Christensen natural full back hivyo ni vigumu kumchezesha kama kiungo mkabaji. So Luiz hapo atacheza kama kiungo mkabaji japo kwa kuwa Cahili hayupo basi itabidi abaki nyuma ili kuorganise mabeki wenzakeChristensen acheze na kante, halafu Luis arudi kwa azipculeta na rudiger
Mkuuu unajua Ku suffer hyo tar 20 kwa spur tutaumia SNA hakuna kiungo htuna beki luiz hawez cheza kiungo afadhali angekuwepo hata Loftus check angalau mie naona conte asajili tu watu timu bado tunayo mzuri sana matic alikosea kumuuzaChristensen natural full back hivyo ni vigumu kumchezesha kama kiungo mkabaji. So Luiz hapo atacheza kama kiungo mkabaji japo kwa kuwa Cahili hayupo basi itabidi abaki nyuma ili kuorganise mabeki wenzake
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu IBRA anamuamini kinyamaaaaa kumbe ni mpiga dili tu hajui Mpira mike emenalomike emenalo ndo anasababisha tuonekane kama asenali.
HahahaaaaMkuuu unajua Ku suffer hyo tar 20 kwa spur tutaumia SNA hakuna kiungo htuna beki luiz hawez cheza kiungo afadhali angekuwepo hata Loftus check angalau mie naona conte asajili tu watu timu bado tunayo mzuri sana matic alikosea kumuuza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuuu unajua Ku suffer hyo tar 20 kwa spur tutaumia SNA hakuna kiungo htuna beki luiz hawez cheza kiungo afadhali angekuwepo hata Loftus check angalau mie naona conte asajili tu watu timu bado tunayo mzuri sana matic alikosea kumuuza
Sent using Jamii Forums mobile app
Timu gani EPL ina full backs waliokamilika kwa kiwango cha Luiz, Azpilicuta na Cahili? Sent using Jamii Forums mobile app
Asikwambie mtu Chelsea ya mwaka huu itakuwa hatari zaidi kuliko ya mwaka jana. Sote tunakumbuka kuwa Chelsea ilikuwa na kikosi bora kuliko timu nyingine yoyote ya EPL. Hata katika PFA premier league team of the year Chelsea ilikuwa na wachezaji 4 ambao ni Luiz, Cahill, Kante na Hazard na wotehawajauzwa, wamebaki kwenye timu.
Timu pekee iliyoingiza wachezaji wengi nyuma ya Chelsea ni Tottenham iliyoingiza wachezaji 3; Kayle Walker, Dan Rose na Harry Kane.
Timu nyingine zilizobaki ziliingiza atmost mchezaji mmoja mmoja. Man U waliingiza goalkeeper De Gea, Liverpool Sedio Mane, Everton Lukaku na Arsenal hawakuweza kumwingiza mtu yoyote.
Kwa hapo juu inaonekana Tottenham ndo ina wechezaji wengi walioingia katika PFA team nyuma ya Chelsea..
Lakini ikumbukwe pia Kayle Walker tayari ashauzwa Man City na Dany Rose anawindwa sana na Chelsea. Kwa hiyo katika ile list wanapunguza idadi ya wachezaji na ikumbuke kuwa Tottenham haijanunua wachezaji wapya msimu huu.
Sasa unaweza kuanza kupata picha kwa nini nasema Chelsea itakuwa timu tishio zaidi.
Chelsea imemuuza Matic na kumnunua Bakayoko ambaye kiwango chake ni kizuri zaidi. Diego Costa naye ni surplus to requirement na Morata amekuja kuziba pengo lake na naamini muda si mrefu mashabiki wa Chelsea wataacha kum-miss Diego Costa. Lakini pia imeingeza makali ya safu ya ulinzi kwa kumnunua Antonio Ludiger.
Wengine waliouzwa walikuwa reserve ya timu ambao wengi wao ni vijana wadogo ambao wameondoka kwa mkopo kwenye club nyingine ili waive zaidi.
Chelsea haijaishia hapo ila tajiri Abramovic atatoa about £130, 000,000 (£ 130 million) kwa ajili ya kuimarisha kikosi na wachezaji walio katika rada ya Chelsea ni Van Dijk ambaye Chelsea iko tayari kutoa £50M/Dan Rose, Ox Chambalein, Dan Drinkwater na wengineo.
Hivyo waweza kuona jinsi Chelsea itakavyokuwa timu hatari zaidi katika msimu huu kuliko msimu uliopita.
Chelsea lazima ifanye maajabu msimu huu
Sent using Jamii Forums mobile app