Leloo June
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 1,012
- 945
Willian , fab mbona ni washika makoti nje pale Chelsea toka msimu uliopita akuna chakumuumiza kichwa conte usitake kuipamba sana team yenu..Wachezaji gani ambao wame-underperform? Chelsea imekamilika upande wa mabeki kuliko timu yoyote ya EPL. Tunahitaji tu mtu wa kushika namba ya Bakayoko ambaye bado hajawa fiti kwa ajili ya mechi. Na wing back zinahitaji mtu mmoja wa kuleta ushindani au akisajiliwa beki(say van Dijk) basi Luiz anaweza kucheza kama defensive midfielder au Azpilicueta akacheza kama Wing Back. Mbele pale Morata anatosha sana. Na Hazard na Pedro wakirudi basi ndo sipati picha hii timu itakuwaje. Shida itabaki kwa kocha maana atachanganyikiwa kupanga kikosi chache. Maana sasa nani atakaa benchi? Willian? Fabregas? au nani? Hapo kumbuka vijana Boga, Musonda, na Christen bado wako benchi pamoja na Batshuay.
Kijana kitambue vizuri kikosi cha Chelsea ndo uje kukizungumzia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app

