Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,935
- 27,192
Hakuna kitu nina maana mmemchukua kwa hela kubwa na wakat bado hajafikia pesa hiyo. Ni mchezaji wa kawaida hajafikia level hizo mzeeMkuu acha ushabiki pembeni haiwezekani the second score goals kwenye EPL afu useme hamna kitu utakuwa hujielewi
