Mliwapiga mkiwa na Matic, Costa, Hazard, Pedro. Sasa hivi mna Boga.
mbona hujamtaja na morata????? ALVARO MORATA-30mins played 1 goal+ 1 assist WORLD CLASS STRIKER.
Nyuma kuna rudiger na dogo andreas christ. tottenham kwetu ni wasichana.
Mliwapiga mkiwa na Matic, Costa, Hazard, Pedro. Sasa hivi mna Boga.
mbona hujamtaja na morata????? ALVARO MORATA-30mins played 1 goal+ 1 assist WORLD CLASS STRIKER.
Nyuma kuna rudiger na dogo andreas christ. tottenham kwetu ni wasichana.



morata naye kashinda kwa uzembe wa timu bunleyasingefunga ungeongelea points????? anyway point ni uzembe wa mabeki umetu cost hasa cahili beki mzembe.
hichi ndio nashangaa hawa mabogaNaona mnajifariji kwenyw goli la Morata![]()
Naona mnajifariji kwenyw goli la Morata![]()
sawa mkuu, tupo na furaha na team yetu ndogo, wewe team yako ya wahenga{liverpool} utaishi nayo kwa hope hivo hivo na makombe huyaoni hadi unazeeka.
morata naye kashinda kwa uzembe wa timu bunley
hahahhahaha
kikundi cha wahuni na maboga
ile ya lacazette halikua goli la kawaida kama penatiIla lacazette alipofunga beki wa leicester walikuwa makini au sio??????
mabeki wanakuwa wazembe akifunga morata tu.
AVARO MORATA-30mins played 1goal+1assits WORLD CLASS STRIKER.
kuna mwenye tatizo na morata au uwezo wake huko???????
hichi ndio nashangaa hawa maboga
Burnley jana wamekutana na nguruwe shambani wamemvunja miguu
ile ya lacazette halikua goli la kawaida kama penati
hivi kande yupo wapi ??
jana Burnley wamepiga mwizi na mwizi hapigwi kwa ndala anapigwa kwa mawe nyundoDECEMBER sio mbali muanze kubeba mabango yenu ya ''wenger out''.
enough is enough wenger out. wakati sisi tumewasha motto uitwao ''blaze inferno''
Ni chelsea pekee ambapo world class striker ananzia benchiLukaku mzito kama kiloba cha mchanga bakini nae ninyi, hatujawahi kumpenda huyo mtu.
ALVARO MORATA-30 minutes played 1 goal+1 assist. WORLD CLASS STRIKER.
jana Burnley wamepiga mwizi na mwizi hapigwi kwa ndala anapigwa kwa mawe nyundo
Burnley wamepiga mbwadecember sio mbali, hutokua unakuja tena hapa wakati nkiwa nakucheeeeka na team yako inayokata pumzi 1st round.
december utakua busy na wenger out.
Ni chelsea pekee ambapo world class striker ananzia benchi
Hata msimu ulioisha mlisema atakuwa wa kwanza kutimuliwa baada ya vipigo vya liverpool na arsenalConte hatamaliza msimu, atafuata nyayo za jose. Kumtimua Costa wakati bosi wake bado akimpenda na pia kupata matokeo mabaya. Asipofanya vizuri mechi mbili zijazo ndipo atajua rangi zote za Abramovich
Sent using Jamii Forums mobile app
wanatia huruma haoMliwapiga mkiwa na Matic, Costa, Hazard, Pedro. Sasa hivi mna Boga.
Burnley wamepiga mbwa