Umeongea vizuri sana ila sikubaliani na wewe kwamba Morata hatufikia kiwango cha Costa
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani costa ana kiwango gani cha kumzidi morata?????? morata ana dribble nzuri while costa hawezi hata dribble,
morata anapunguza na kupiga chenga wakati costa hawezi.
morata ana vitu vingi ambavo costa na lukaku hawana.