Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mbona unapoteza muda mkuu kuwajb, huyo morata mwenyew hat kucheza bado hajacheza, penalt anakosa Mess!!!. Msimu unaanza wenyewe watapoteana humu .........huyo Costa kama mzuri sana mbn mpaka sahiv hajanunuliwa

Usipoteze muda wako mkuu.
una mawazo kama yangu yaani huyo costa anayepigiwa kelele kila siku humu kila timu haimtaki kumchukua sijui uzuri wake ni upi
 
Utakuwa na kichaa wewe, hakuna team duniani isiyotaka Huduma ya diego Costa... Ac Milan na wachina wao waliweka hela mezani Diego akachomoa. Costa mwenyewe ameshaweka bayana team pekee anayoitaka ni Atletico Madrid na si team nyingine yoyote .

Hivi kwa uelewa wako kuna team inaweza kumkataa Mchezaji Mwenye hizo statistics kwenye picha niliyoambatanisha ????

Ana misimu mitatu Chelsea , amekusaidia kubeba Ndoo mbili za EPL huku yeye ndio akiwa top scorer wako kipindi chote hicho Leo unasema ni mchezaji mbovu.

Kapimwe akili Ndugu yangu.... Huyo Morata kubali kataa hataweza kufikia hata robo ya Diego Costa.

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Attachments

  • 1502179617702.png
    1502179617702.png
    20.1 KB · Views: 52
  • 1502179628686.png
    1502179628686.png
    5.2 KB · Views: 41
Costa mpambananji wewe uyu Morata mtoto wa mama hawezi mikiki ya EPL kosa kubwa sana kuwaacha Costa na kuruhusu Matic aende Man u hapo tutafute top 4 tu

mbona huyo costa wenu tokea chelsea tutangaze kumwacha hakuna team zinazomhitaji kama mzuri?????
i stand for morata hata kama asipofunga goli msimu mzima. creative and talented striker[morata].
 
Hahahaha yamekuwa hayo tena

Sent From My Nokia Ya Tochi

mkuu mimi ndie mtu niliye na imani na morata, na nimefurahi sana tulivomchukua huyu morata the world class striker.
nilimchoka costa no matter alikuwa mpambanaji na huyo lukaku wenu ndo sikutaka kabisa aje darajani na namshukuru MUNGU zimwi la lukaku kalitupilia mbali{old trafold}.
 
Mbona unapoteza muda mkuu kuwajb, huyo morata mwenyew hat kucheza bado hajacheza, penalt anakosa Mess!!!. Msimu unaanza wenyewe watapoteana humu .........huyo Costa kama mzuri sana mbn mpaka sahiv hajanunuliwa

Usipoteze muda wako mkuu.

mkuu nkiwa free kama hivi nanenane huwa nawajibu hivo hivo hata kama wanapost kusumbua mahakama.
hapa tunawaelemisha na kuwapa facts.
stay calm morata gonna make wonders.
 
Uzi wa mabingwa huu so lazima washoboke kidogo

mkuu mimi huwa nafurahi wanavokuja ili wajifunze na wapate facts about football and soccer.
ikiwezekana waje kwa wingi if im free i gonna answer all of them.
 
mbona kocha wako hajamchukua kama ana statistics nzuri na ni proven striker???? na badala yake akakomaa kumchukua morata kabla hamjapigwa chini na ku opt kwa lukaku. mchukueni huyo costa mpasuane nae kichwa.
 
Timu hazimfuatilii sababu yeye ameshaweka wazi anataka kurudi Atletico.

Sent using Jamii Forums mobile app

mbona cavan alisema anataka kucheza chelsea ila psg walivokuja na mpunga wa maana wakala wake akamshawishi aende psg.
sasa mbona bidhaa costa haina competition in market hadi imechina???????? team yako sijawahi isikia hata ikimtaka.
 
mbona huyo costa wenu tokea chelsea tutangaze kumwacha hakuna team zinazomhitaji kama mzuri?????
i stand for morata hata kama asipofunga goli msimu mzima. creative and talented striker[morata].

kutotakiwa sio sababu ya uwezo kuna vitu vingi kama mshahara pesa ya uhamisho n.k sasa asipofunga msimu mzima uyo sio mchezaji bali atakuwa anakula pension
 
mkuu sisi costa hatumtaki na tumemwambia afunge mabegi yake aje huko atakako, na huko wanakomhitaji ila nashangaaa hadi saizi hauziki.
wakati morata alikua dhahabu sokoni kila mtu anamtaka[manU, chelsea, ac milan, juventus, asenali, spurz]
morata movement zake za mpira zina impress kuwa the man is world class striker.
 
pale tumeingia chaka uyu atakuwa kama Torres
 
kwani torres tuliingia chaka???? torres katupa uefa his goal vs barcelona semi final uefa tukaingia final na kubeba ndoo ya uefa,
torres katupa FA.
Torres katupa uropa, sisi die hard fan wa blue tunamuona torres kama legend asiyehaulika vizazi na vizazi darajani kwa hayo makombe.
morata nae the same huwezi mjudge kwa single game tena kacheza dakika chache,
kama ni kukosa penati mbona akina beckham walikua wanapaisha na haikua habari, messi, cr7, maradona wote wanakosa penati.
be calm with morata the world class striker.
 
pale tumeingia chaka uyu atakuwa kama Torres

kwani torres tuliingia chaka???? torres katupa uefa his goal vs barcelona semi final uefa tukaingia final na kubeba ndoo ya uefa,
torres katupa FA.
Torres katupa uropa, sisi die hard fan wa blue tunamuona torres kama legend asiyehaulika vizazi na vizazi darajani kwa hayo makombe.
morata nae the same huwezi mjudge kwa single game tena kacheza dakika chache,
kama ni kukosa penati mbona akina beckham walikua wanapaisha na haikua habari, messi, cr7, maradona wote wanakosa penati.
be calm with morata the world class striker.
 
Mbona unapoteza muda mkuu kuwajb, huyo morata mwenyew hat kucheza bado hajacheza, penalt anakosa Mess!!!. Msimu unaanza wenyewe watapoteana humu .........huyo Costa kama mzuri sana mbn mpaka sahiv hajanunuliwa

Usipoteze muda wako mkuu.
Pamoja na kwamba Costa ana mapungufu yake hasa ya kinidhamu lakini viatu vya ustraika vilimtosha vizuri. Morata atakuja kuwa vizuri hapo baadae kidogo. Na sababu ya Costa kutonunuliwa ni kwa sababu ya utovu wa nidhamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakuwa na kichaa wewe, hakuna team duniani isiyotaka Huduma ya diego Costa... Ac Milan na wachina wao waliweka hela mezani Diego akachomoa. Costa mwenyewe ameshaweka bayana team pekee anayoitaka ni Atletico Madrid na si team nyingine yoyote .

Hivi kwa uelewa wako kuna team inaweza kumkataa Mchezaji Mwenye hizo statistics kwenye picha niliyoambatanisha ????

Ana misimu mitatu Chelsea , amekusaidia kubeba Ndoo mbili za EPL huku yeye ndio akiwa top scorer wako kipindi chote hicho Leo unasema ni mchezaji mbovu.

Kapimwe akili Ndugu yangu.... Huyo Morata kubali kataa hataweza kufikia hata robo ya Diego Costa.

Sent From My Nokia Ya Tochi
Umeongea vizuri sana ila sikubaliani na wewe kwamba Morata hatufikia kiwango cha Costa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona huyo costa wenu tokea chelsea tutangaze kumwacha hakuna team zinazomhitaji kama mzuri?????
i stand for morata hata kama asipofunga goli msimu mzima. creative and talented striker[morata].
Mkuu kazi ya striker ni kufunga magoli. Hakuna timu inaweza kumvumilia striker asiyeweza kufunga magoli. Mm nashauri katika ushabiki wa mpira tutumie na akili siyo kutumia hisia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom