Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mabeki tunao wengi sana alikuwa hana umuhimu

Rudiger
Aspilicueta
Luiz
Na wengine kibao
Tunahitaji 2 wing backs wa kulia na kushoto, kuhusu back sio mbaya maana waliotolewa kwa mkopo wamerudi hasa christen

sent from my jamii forums app iphone 7+
 
Tusiwaangalie wwnze2 tuangalie cc
AF pia kumbuka lukaku ni second top scorer wa PL uyu we2 vp wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
639a54ff07c19778e898a12a3ad3751c.jpg


Chui ndani ngozi ya kondoo! 😀 😀 😀 😀

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
[/IMG]morata awaaga rasmi wachezaji wenzie wa real madrid
Kutua london hii leo kukamilisha taratibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom