eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,401
Welcome Darajani morataa
Sema lukaku sio aguero mbona nyie vijana wa JPM wepesi kusahau sana.Chaguo la kwanza la chelsea lilikua agueroo
Safi sana i hope mpaka kufika jioni atakuwa na mkataba ameshasainiMkuu eden kimario, na Mashabiki wote wa Chelsea, Morata ameshatua uwanja wa ndege wa Hearthrow Airport- England. Teyari kwa kuenda kufanya vipimo vya afya
View attachment 546543
Mbona unalazimisha niseme lukakuSema lukaku sio aguero mbona nyie vijana wa JPM wepesi kusahau sana.
Very true.KTBFFHTano bora ulaya
Real madrid
Juventus
Barcelona
Bayen munchen
Chelsea fc
Tutalibeba tuMI nataka tu tulibebe tena mwaka huu
Wavumilie tu,kumponda sio solution,labda wanajipunguzia machungu tu.Anatakiwa akajiunge haraka na wenzake marekani
Morataaaaaa
Man u mnasikia uchunguu ndio hivyo kashatua
Aibu hadi unacheka[emoji4] [emoji4]Mbona unalazimisha niseme lukaku
Lukaku hakua kwenye mipango yetu[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hebu rudi nyuma hapa hapa kwenye thread yenu utaona mlivyokuwa mnapiga kelele kuhusu lukaku kutokuja kwenu hadi maneno ya kocha wenuMbona unalazimisha niseme lukaku
Lukaku hakua kwenye mipango yetu[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nilikuwa mmoja ya wale waliokuwa wakipinga usajili wa lukaku chelseaHebu rudi nyuma hapa hapa kwenye thread yenu utaona mlivyokuwa mnapiga kelele kuhusu lukaku kutokuja kwenu hadi maneno ya kocha wenu
Safi...!Mkuu eden kimario, na Mashabiki wote wa Chelsea, Morata ameshatua uwanja wa ndege wa Hearthrow Airport- England. Teyari kwa kuenda kufanya vipimo vya afya
View attachment 546543