Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

facd3a112c151b1998b2ad6c4160cde5.jpg
 
Chama cha soka ingland kimefichua kwamba mfumo mpya wa upigaji penalty unaofahamika kama ABBA utatumika katika Match ya ngao ya jamii kati ya chelsea na arsenal

Utaratibu huo ni kwamba timu moja itapiga penalty mbili mfululizo kabla ya wapinzani wao kupiga za kwao

Na iwapo match hiyo ya ngao ya jamii itaisha kwa sare ndani ya dk 90
Moja kwa moja ni mikwaju ya penalty
 
Mi ni shabiki wa chelsea ambae naamini morata atafunga mabao zaidi ya costa

Muda utaongea tu na tutakumbushana
Na je, unaamini kwamba kuuzwa kwa Matic haukuwa uamuzi sahihi? Matic aliuzwa kwa Benfica bila sababu ya msingi na safari hii ameuzwa kwa Man U wakati machango wake ukihitajika sana. Mimi katika maamuzi ya kipumbavu yaliyofanywa na Chelsea ni kuwauza wachezaji wazuri kama Matic, Van Ginkel, Kevin De Bruyne, Mata, Lukaku, na Salah. Hivi sisi Chelsea ni nani aliyeturoga?
 
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza. We can only postulate ila facts wanazijua wahusika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na je, unaamini kwamba kuuzwa kwa Matic haukuwa uamuzi sahihi? Matic aliuzwa kwa Benfica bila sababu ya msingi na safari hii ameuzwa kwa Man U wakati machango wake ukihitajika sana. Mimi katika maamuzi ya kipumbavu yaliyofanywa na Chelsea ni kuwauza wachezaji wazuri kama Matic, Van Ginkel, Kevin De Bruyne, Mata, Lukaku, na Salah. Hivi sisi Chelsea ni nani aliyeturoga?
Van Ginkel kauzwa lini mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu naomba mnimwagie link za kutazama mpira kesho nikalicheck online chama langu likibeba communiy shield....hii ya goatdee naona inazingua siku hz. Achia hizo link kwa ufasaha wanangu.
 
Mkuu naomba link ya kuangalia mpira online.
Kama una bando la kutosha.. vumilia usifatilie tokeo mpaka half time iishe.. then ingia reddit.. au sechi google.. "reddit football highlights" then utakuta wamekuuploadia kipindi cha kwanza.. meanwhile kipindi cha pili as soon as mechi ikiisha..

Kustream kama una speed nzuri..ingia soccerstream ya reddit. Search "reddit soccer stream " utapata link kibao kwene hiyo website yao
 
Pamoja sana mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom