eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Huyu yuko fiti
Yuko vizuri ila usitegemee ataanza first 11 ktk mechi zenye ushindani Vilevile usishangae kabla dirisha kufungwa akatolewa kwa mkopo.Huyu yuko fiti
Pale mbele pakikaa hivi itakuwa powa
Wilian, morata, boga
Au wilian, batshuay, boga
Au Pedro, batshuay, boga
Au Petro, morata, boga
Huyu boga alinivutia sana kwenye pree season
Possibility ya Boga kuanza ni ndogo mno...Huyu yuko fiti
Pale mbele pakikaa hivi itakuwa powa
Wilian, morata, boga
Au wilian, batshuay, boga
Au Pedro, batshuay, boga
Au Petro, morata, boga
Huyu boga alinivutia sana kwenye pree season
Sifikirii kama conte hajamuona huyu dogo huyu asitolewe kabisa kwa mkopoYuko vizuri ila usitegemee ataanza first 11 ktk mechi zenye ushindani Vilevile usishangae kabla dirisha kufungwa akatolewa kwa mkopo.
Basi sawa ila awe anampa nafasi hata kipindi cha piliPossibility ya Boga kuanza ni ndogo mno...
Kumbuka na Batshuayi yupo nje bado...
Sanasana anaweza
- kucheza na strikers wawili (Batshuayi na Morata) huku mmoja kati ya Willian au Pedro acheze.
- kutumia wachezaji aliowazoea kuanza..Willian na Pedro kisha Batshuayi striker (au Morata Striker)
Chances za kumuweka Batshuayi nje kwa game hii ni ndogo. Na akianzia benchi basi jua Willian na Pedro wote wamo ndani.
Hao madogo wasubirie games za FA na subs ndo watazifaidi. Uzuri tuna game nyingi za kucheza so naamini watapata nafasi.
Sent using Jamii Forums mobile app