eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
AkifungaNa leo tena Morata hafungi goli Ng'o hadi mkome kumnunua mwaka huu![]()
AkifungaNa leo tena Morata hafungi goli Ng'o hadi mkome kumnunua mwaka huu![]()
Inaanza saa kumi kamili mkuu
Yuko kwa mkopo bakerKweli hawa madogo wapo vizuri sana. Ila ninavyoangalia benchi simuoni Baker, huyu nae anaweza kwenda kwa mkopo sehemu aisee
Ameshaondoka kwani? Hapana kaka bado yupoYuko kwa mkopo baker
Tukicheza kwa mfumo huu Angalau tunakua vizuri pale nyuma...Wenger nae kaiga 3-4-3
Yupo benchi mkuu kama kule kwao madrid

AnafungaHana uwezo huo hapa sio laliga![]()
![]()
Kazi kwao sasa...Community Shield - 2017
Chelsea 1 - 0 Arsenal
V. Moses 47'