Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea haiko vizuri hata kama ni mechi za pre season. pamoja na utovu wa nidhamu, pengo la costa linaonekana wazi. Morata bado mimi naamini atacope na wenzake. Mechi ya Inter na Chelsea togauti kubwa ilikuwa uwezo mdogo wa washambuliaji wa chelsea vs ubora wa washambuliaji ea inter

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nawashangaa sana kwan mlivyokuwa mnamuongelea lukaku hamkulijua hilo au morata wenu alivyoanza kuvurunda ndo mmeyakumbuka hayo..????
Lukaku alikuwepo EPL na yupo epl, so ni rahisi kumuongelea mapema, maana ni muendelezo tu wa ligi hiyo hiyo Timu tofauti. Morata katoka ligi nyingine kabisa, he is new for the team and atmosphere. We vp?
 
Katika vitu ambavyo Chelsea imepoteza in kumnunua morata,bora wange mchukua James wa Madrid kwa mkopo,morata hana ari ya kucheza,

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu si wanajua mtu yoyote akinyatiwa na morinho ni dili kwa hiyo wakaingia mkenge bila kujua kwamba morinho alikuwa anajua jinsi ya kumtumia morata ndo maana alikuwa anamfatilia afu hawa wanachukua chukua tu bila kujiuliza watamtumiaje baadaye ndo haya yanawatokea..??
 
Lukaku alikuwepo EPL na yupo epl, so ni rahisi kumuongelea mapema, maana ni muendelezo tu wa ligi hiyo hiyo Timu tofauti. Morata katoka ligi nyingine kabisa, he is new for the team and atmosphere. We vp?
Fresh tu kwa hiyo mlivyokuwa mnapiga makelele kwamba mnafurahia kuja kwa morata mlikuwa mnamaanisha nn..?? sema tu roho inawauma kwa ndani mnajitahidi kuvumilia ila wapi.
 
ligi ikianza sina shaka utapotea kwenye jukwaa hili kama ndege ya malaysia
 
Mkuu si wanajua mtu yoyote akinyatiwa na morinho ni dili kwa hiyo wakaingia mkenge bila kujua kwamba morinho alikuwa anajua jinsi ya kumtumia morata ndo maana alikuwa anamfatilia afu hawa wanachukua chukua tu bila kujiuliza watamtumiaje baadaye ndo haya yanawatokea..??
unataka unambie conte hamjui morata?
 
Morata ni striker bora sana hili litaonekana kwenye ligi akiwa na kikosi hiki

Courtouis
Rudiger
Luiz
Aspiliqueta
Moses
Bakayoko
Kante
Alonso
Pendro
Morata
Hazard

Tuonane kwenye league
 
0e33f285de7541692ada6bc1475236cd.jpg
 
Fresh tu kwa hiyo mlivyokuwa mnapiga makelele kwamba mnafurahia kuja kwa morata mlikuwa mnamaanisha nn..?? sema tu roho inawauma kwa ndani mnajitahidi kuvumilia ila wapi.
Mkuu si wanajua mtu yoyote akinyatiwa na morinho ni dili kwa hiyo wakaingia mkenge bila kujua kwamba morinho alikuwa anajua jinsi ya kumtumia morata ndo maana alikuwa anamfatilia afu hawa wanachukua chukua tu bila kujiuliza watamtumiaje baadaye ndo haya yanawatokea..??
Mkuu hata mimi huyu Morata hajaingia akilini mwangu kabisa. Kinachouma zaidi ni kuuzwa MATIC kwa Man U. Hawa Chelsea wanalipoteza kombe wenyewe. Matic alisaidia sana kunyakua kombe msimu uliopita. Ni bora wangembakisha Costa kuliko kupoteza mihela yote ile kumnunua Morata. Madrid wamelamba hela za bwerere.
 
Chelsea haiko vizuri hata kama ni mechi za pre season. pamoja na utovu wa nidhamu, pengo la costa linaonekana wazi. Morata bado mimi naamini atacope na wenzake. Mechi ya Inter na Chelsea togauti kubwa ilikuwa uwezo mdogo wa washambuliaji wa chelsea vs ubora wa washambuliaji ea inter

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nakuunga mkono....bado hatujapata real striker. Ni bora tungebaki na 'chizi' Costa kuliko kupoteza fedha kumnunua Morata....ni lani mno na ujinga wake wa ku-dribble mpira ovyo ovyo hautofautiani na wa Costa...ijapokuwa Costa yupo makini sana ndani ya 18.
 
mkuu, upo sahihi na ume hit the target.
kwa kuongezea fabregas hawezi kukaba na kante nae hawezi piga pass za mwisho. so hapo matic anahitajika sana no matter what. kingine ni kumpata alex sandro na rudiger/christean wachukue nafasi ya cahili hata kama ni captain ila hana pace.

Bakayoko mbona humzungumzii?, mi naona Fabregas anaandaliwa kwa Champions League kwa uzoefu wake, kwenye ligi ya ndania hapo kati ni Kante na Bakayoko tu
 
Mkuu nakuunga mkono....bado hatujapata real striker. Ni bora tungebaki na 'chizi' Costa kuliko kupoteza fedha kumnunua Morata....ni lani mno na ujinga wake wa ku-dribble mpira ovyo ovyo hautofautiani na wa Costa...ijapokuwa Costa yupo makini sana ndani ya 18.
Mi ni shabiki wa chelsea ambae naamini morata atafunga mabao zaidi ya costa

Muda utaongea tu na tutakumbushana
 
mkuu tupo pamoja nami nna imani kubwa na morata, 1stly movement zake akiwa na mpira ni za world class striker.
costa katuzingua sana kuanzia january sitaki hata kumsikia. kwanza costa alikua kila transfer anaomba kuondoka so mtu kama huyo wa nini kuwa nae kwenye team wakati moyo wake upo sehemu nyingine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom