eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Unamuacha Matic kwa dola 40 M tu unamchukua Drinkwater ?
Akili za Conte anazijua mwenyewe!
Mmetema kombe kabla hata ligi haijaanza!
OHH My God
Yaani kuna kocha duniani anamchukua Morata anamuacha Lukaku wote wakiwa sokoni?
Prime target ya Chelsea ilikuwa Lukaku,alipo shindwa ndiyo wakaenda kwa Morata!
Fact!!
hahaha drinkwater tena huyu conte simuelewi
Hata akimsajili Fellaini mtasema ni mzuri kuliko Matic
Na kujiremba NyweleProgba ni kiungo mshambuliaji wakati Ngolo ni Kioungo mkabaji. Ngolo anabakia kuwa bora zaidi -
Huyo jamaa anachomzidi Ngolo ni urefu tu.
![]()
Jpili tarehe 6.
Kwa miaka hiyo simba a.k.a mikia ilikuwa na mafanikio zaidi ya haka ka kikos
Sent From My Nokia Ya Tochi
Hapo ni pendroNatamani hiyo j2 pale mbele wapangwe willian+jeremia boga/musonda+morata/batman.
Wakati tukigombania pointi 3 hapo ndio tutajua ipi ilikuwa inabahatisha kwenye pree seasonMentor unataka kusema bayern mbovu kisa imefungwa na napoli na liver?
Naiamini chelsea.hizi pre season HAZINIPI SHIDA.MPAKA LIGI IANZE.
Sent using Jamii Forums mobile app
Conte aliwaambia hata kabla hawajamuuza kwamba wasitegemee watampata hazard ndio maana wanakufa na cotinyo wa liverEden Hazard huyooooo
After weeks of discussion and speculation, Paris-Saint Germain have finally completed the world record £200 million signing of Neymar from Barcelona, creating a massive void in the Catalan side's attack with the breakup of the vaunted "MSN" trio. There are few players in the world that can replicate the production Neymar provided, with the Brazilian international scoring 20 goals and assisting 21 last season. However, according to Spanish news outlet Don Balon via the Express, a surprise solution may have popped up, with one of the few players capable of replacing Neymar showing interest in joining Barcelona.
The report claims that Chelsea star Eden Hazard has reached out to Barcelona following the confirmation of the Neymar sale. The Belgian winger was previously connected with a move to Real Madrid, however it has been said that Hazard has turned his back on that option, instead preferring to sign with their bitter rivals. A potential move to Barcelona would be a shock for most fans as Hazard had expressed his admiration for Real in the past. However, with Real showing more interest in signing Monaco's Kylian Mbappe, a move seems unlikely this summer.