Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kila siku nilikuwa nasema wing backs waongezwe maana kikosi hakina depth mwisho wa siku tunaanza kuhangaika na siku dirisha kufungwa ndo hizo zinakaribia, hii board ya chelsea inajijua yenyewe maana ina delay sana

sent from my jamii forums app iphone 7+
 
Naona mmeanza kurudiwa na fahamu ... Ngoja ligi ianze ndio mtajua
kwa hiyo demokrasia ni upinzani kushinda?

Kila siku nilikuwa nasema wing backs waongezwe maana kikosi hakina depth mwisho wa siku tunaanza kuhangaika na siku dirisha kufungwa ndo hizo zinakaribia, hii board ya chelsea inajijua yenyewe maana ina delay sana

sent from my jamii forums app iphone 7+


Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Na je, unaamini kwamba kuuzwa kwa Matic haukuwa uamuzi sahihi? Matic aliuzwa kwa Benfica bila sababu ya msingi na safari hii ameuzwa kwa Man U wakati machango wake ukihitajika sana. Mimi katika maamuzi ya kipumbavu yaliyofanywa na Chelsea ni kuwauza wachezaji wazuri kama Matic, Van Ginkel, Kevin De Bruyne, Mata, Lukaku, na Salah. Hivi sisi Chelsea ni nani aliyeturoga?
Huyu naye bhana sometimes simuelewagi...kwanini sasa alimuuza JEMBE Matic? Kaniudhi sana.
conte alisema alipinga matic kuuziwa man u, sema watu walio-above the food chain hawakumsikiliza
Conte aliwaambia hata kabla hawajamuuza kwamba wasitegemee watampata hazard ndio maana wanakufa na cotinyo wa liver

Ukiona chelsea inauza mchezaji ujue tumemchoka

Matic aligeuzwa kuwa flop mara leftover mara kachoka kisa tu kaenda Man Utd. Ila kwa sasa baada ya kuonekana Conte mwenyewe hakutaka ila ni amri kutoka juu naona mmeanza kubadilia.

Wakati mwingine kuwa mkereketwa wa timu flani inakubidi kuwa na akili ya kikereketwa ya chama flani cha kijani.

eden kimario upo mkuu? Mmemchoka Matic au ndo ile sizitaki mbichi hizi.
 

Attachments

  • Screenshot_2017-08-06-14-30-51.png
    Screenshot_2017-08-06-14-30-51.png
    38.7 KB · Views: 54

Similar Discussions

Back
Top Bottom