Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu hayo mengi labda moja huyu bench warmer atafikishaje hayo magoli mbona unampa masifa yasiyostahili kwa sasa hata goli halijui lilipo afu unampa hayo magoli kweli..???
Ulishawahi kumuona kapiga hata on target hata moja...??

Duuh kumbe hata matatu nayo mengi...!!! Jukwaa la watu hili ujue sasa wakitoka huko walipoenda kulilia, hasira watakuja zimalizia kwako
 
Hahaa morinho yukoje mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mourinho anajua mpira, unaweza mchukia ila huwa anaweza kukufanya ukajiona falaaa! Ndio maana niliumia sana kitu walichomfanyia pale Chelsea. Hawa maniga wa inter nao wanatumia falsafa zile zile wanacheza wanakuacha ucheze ila wanakukaba hata goli hutaliona! Unakumbuka mechi ya Chelsea vs Man U? Walimaliza mpira bila shoot on target!
 
Chelsea wangenunua mchezaji anayeweza kujuposisheni kama Zlatan bora wangeachana na Morata
 
Naona mmeanzisha league
Lukaku vs Morata! Wote mbona wazuri tu mazee au ndio unazi wa team?
 
Conte says Morata has to improve his physical condition to fit with his idea of football, but the player is working well. [HASHTAG]#CFCTour[/HASHTAG]
Kuna siku nilizungumzia suala la morata asipojiangalia atajikuta mara nyingi anakua bench kwa majeruhi lakini kuna shabiki humu aliniponda sana. Nadhani pole pole ataona tu na huyo morata wakimchezesha kama namba 9 timu itakua na uhaba wa magoli mpaka watajuta nadhani ata kocha wao analiona hilo ndio maana anajaribu kucheza kamali ya kuona kama anaweza cheza akitokea pembeni

Today
 
Mkuu hata huko pembeni alipocheza leo bado hajafit jamaa mlaini sana leo kakanyagwa kidogo kaanza kulaumu.
 
Chelsea wanapaswa kufahamu kuwa Morata wamemnunua kama backup tu wanatakiwa kuwa na striker wa kuaminika then morata awe booster tu

Mkuu malengo ya chelsea ni kuwa morata ndo alikuwa target striker wa kuaminika ila saivi imekuwa kinyume bado naona anajaribiwa tu kila nafasi ili aweze kufit na watamkumbuka sana costa na conte najua analijua hilo basi tu.
 
Na morata yule wa madrid ni tofauti sana na huyu aliyepo chelsea creativity zake zote alizokuwa nazo huko madrid zimeisha ..!!!!
 
Kuna siku nilizungumzia suala la morata asipojiangalia atajikuta mara nyingi anakua bench kwa majeruhi lakini kuna shabiki humu aliniponda sana. Nadhani pole pole ataona tu na huyo morata wakimchezesha kama namba 9 timu itakua na uhaba wa magoli mpaka watajuta nadhani ata kocha wao analiona hilo ndio maana anajaribu kucheza kamali ya kuona kama anaweza cheza akitokea pembeni

Today

Kumuacha Costa ni kosa kubwa linalofa ywa na Chelsea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom