Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hii kauli inaonesha either huna uhakika na ulichoongea, au unahisi woga na kibaridi kwa mbali, au vyote kwa pamoja.
Hata hivyo pole mkuu, Matic is red.

Unatupaje pole baada ya kuwauzia mchezaji ambaye analysis yetu inaonyesha he is not better at Chelsea? Au unadhani wewe unajua mpira kuliko benchi la ufundi la Chelsea?

Anaweza kuwa useful sana kwenu,hilo pia tunalijua kabla ya kuwauzia na tungeweza kufanya option nyingine but halitupi shida kwa sababu tunajiamini, kumnyima mwingine something not useful kwako ni zaidi ya ubinafsi.

This is another reason of loving Chelsea, tungeweza kumuuza Juve kwa dau hilo hilo walilofika au kumtumia as a bargain kwa Sandro au kumwambia atafute any other club but England's. tumewauzia Man Utd kwasababu we respect will of a player and tunajiamini.
 
We are the champions, wapinzani msitupigie kelele.

Iwe tumesajili galasa au world class player subirini msimu uanze ndo mtajua

Team ninayoona ni shida ni man city maana wanacheza kama hawachezi tena!!!! Ila manure kawaida sana wala msipigie watu kelele

sent from my jamii forums app iphone 7+

mkuu hata mimi nnaihofia mancity tu, maana usajili waliofanya na kocha gudiola patawaka moto.
ila sio team kama liver/asenali/spurz nawa write off.
 
Cahil hajawahi kunifanya nimuone ni beki wa kazi na mwenye umakini

cahili yule jamaa anatakiwa acheze mechi ndogo tu, yaani simkubali huyu mchezaji kila mpira ukipigwa upande wake nakuwa na wasiwasi hadi mapigo ya moyo yaenda mbio. huyu cahili atanipa pressure aisee
 
mou mshenzy sana kawalambisha galasa mkaingia kichwa kichwa.....akasepa na lukaku
now matic

wewe ndo umeingia kichwa kichwa kwa lukaku, mnachukua 'rejects from chelsea' then kwenu ndo 'gold'.
 
mwezi wa 12 christmas ikifika ndo mda wa kuanza kumtukana huyo lukaku wenu.
huku sisi tukipata raha na morata, morata atafanya tunakaa bar na kunywa wine kwa amani.
OHH My God
Yaani kuna kocha duniani anamchukua Morata anamuacha Lukaku wote wakiwa sokoni?
Prime target ya Chelsea ilikuwa Lukaku,alipo shindwa ndiyo wakaenda kwa Morata!
Fact!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom