Nuran Jr
JF-Expert Member
- Jul 15, 2017
- 273
- 234
kwani alilowafunga man u sio gori lile au unaliitaje mwenzetu???Pogba bora zaidi ya Kante sababu anakaba anasambaza mipira na kufunga wakati Kante yeye ni kukaba tu
I BLNG 2 JESUS CHRST
kwani alilowafunga man u sio gori lile au unaliitaje mwenzetu???Pogba bora zaidi ya Kante sababu anakaba anasambaza mipira na kufunga wakati Kante yeye ni kukaba tu
Pogba bora zaidi ya Kante sababu anakaba anasambaza mipira na kufunga wakati Kante yeye ni kukaba tu
hata mimi sishangai.. ndo maana Pogba alishinda awards za PFA player of the year na Football Writers' Association (FWA) 2017.





umeuwaaa


Kwanni Morata na si lukaku. Mbona unatokwa ufahamu?Macho yangu leo mi ni kwa morata tu nasisitiza tena kwenye hizi preseason hatofunga hata goli moja.![]()
GOALS


Leo atashinda goli mbili siunajua milan wametoka kucheza juzi tu hapa na bayern hope Chelsea watakuwa vizuri leoGOALS
Lukaku 2
Lacazete 1
Morata ...????![]()
![]()
![]()
![]()
Mashabiki kama nyinyi saa zingine huwaga mnajishushia heshima bure tu. Lukaku katumia dakika ngapi uwanjani kupata hizo goli mbili Lacazete je?GOALS
Lukaku 2
Lacazete 1
Morata ...????![]()
![]()
![]()
![]()
morata kacheza dakika 27 tu kaassit 1GOALS
Lukaku 2
Lacazete 1
Morata ...????![]()
![]()
![]()
![]()
How many minutes they play?GOALS
Lukaku 2
Lacazete 1
Morata ...????![]()
![]()
![]()
![]()
All the best squads.Chelsea XI v Inter
Courtois, Azpilicueta, David Luiz, Cahill, Moses, Kante, Fabregas, Alonso, Willian, Batshuayi, Morata
Chelsea Subs v Inter
Caballero, Eduardo, Bulka, Rudiger, Christensen, Tomori, Salter, Cuevas, Scott, Baker, Pasalic, Musonda, Boga, Remy