Mi ni shabiki wa chelsea ambae naamini morata atafunga mabao zaidi ya costa
Muda utaongea tu na tutakumbushana
mkuu tupo pamoja nami nna imani kubwa na morata, 1stly movement zake akiwa na mpira ni za world class striker.
costa katuzingua sana kuanzia january sitaki hata kumsikia. kwanza costa alikua kila transfer anaomba kuondoka so mtu kama huyo wa nini kuwa nae kwenye team wakati moyo wake upo sehemu nyingine.
