john agrey
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 1,280
- 2,080
Lukaku vs Morata
Mkwanja wote huo aje kuwa back up? You can't be serious brother si bora mbwana samatta!Chelsea wanapaswa kufahamu kuwa Morata wamemnunua kama backup tu wanatakiwa kuwa na striker wa kuaminika then morata awe booster tu
Today
Usichokielewa ni nini mkuu? Sijazungumzia kuhusu pesa kwani pesa si mmetoa wenyewe, nazungumzia aina ya malengo yalivyotakiwa kuchukuliwa kabla ya kumsajiri ni vizuri pangekua na malengo ya kumfanya kama backup kama alivyokua kule madridMkwanja wote huo aje kuwa back up? You can't be serious brother si bora mbwana samatta!
Hahahahaha, mkuu mi sio Chelsea fan nlikuwa huko zamani aisee saivi nipo mtaa wa saba, nilikua najaribu kuwaza tu kwa sauti. Ila mi nliona pale angefaa costa au aguero huyu morata ni kama wamegamble tu anaweza kuwa fresh au akawa garassa its a matter of time!Usichokielewa ni nini mkuu? Sijazungumzia kuhusu pesa kwani pesa si mmetoa wenyewe, nazungumzia aina ya malengo yalivyotakiwa kuchukuliwa kabla ya kumsajiri ni vizuri pangekua na malengo ya kumfanya kama backup kama alivyokua kule madrid
Today
EPL issue sio time pekee, issue ni mfumo wa team, presha ya team, aina ya kocha na fitnes yako pia. Mfano nikuulize Dimaria alishindwa cheza epl je dimaria ni mchezaji gharasa?Hahahahaha, mkuu mi sio Chelsea fan nlikuwa huko zamani aisee saivi nipo mtaa wa saba, nilikua najaribu kuwaza tu kwa sauti. Ila mi nliona pale angefaa costa au aguero huyu morata ni kama wamegamble tu anaweza kuwa fresh au akawa garassa its a matter of time!
Hapana, ndio maana nimesema kama walibet halafu hawa Spaniards players wengi league ya uingereza haiwapendi. Upo sahihi sana mambo mengi yanachangia. Ndio maana conte alimtaka Lukaku mwanzo kabisa alikuwa anatarget zakeEPL issue sio time pekee, issue ni mfumo wa team, presha ya team, aina ya kocha na fitnes yako pia. Mfano nikuulize Dimaria alishindwa cheza epl je dimaria ni mchezaji gharasa?
Today
Wataelewa tu"The way Chelsea fans were shouting 'start morata, start morata' you will think morata is a generator"
Nimenukuu kutoka kwa shabiki mmoja wa soka!
Mapema sana kuongea hayo, mechi mbili tu mnaongea hv? ?mpira haupo hivyoNa morata yule wa madrid ni tofauti sana na huyu aliyepo chelsea creativity zake zote alizokuwa nazo huko madrid zimeisha ..!!!!
Mi nawashangaa sana kwan mlivyokuwa mnamuongelea lukaku hamkulijua hilo au morata wenu alivyoanza kuvurunda ndo mmeyakumbuka hayo..????Mapema sana kuongea hayo, mechi mbili tu mnaongea hv? ?mpira haupo hivyo
Sisi ni mabingwa wa EPL.WA SASA NA WABADAE.HIZO PRE SEASON ZISIKUPE SHIDA.Mi nawashangaa sana kwan mlivyokuwa mnamuongelea lukaku hamkulijua hilo au morata wenu alivyoanza kuvurunda ndo mmeyakumbuka hayo..????
Lukaku level zake ni akina benteke; while morata yupo level za akina aguero/sanchezMi nawashangaa sana kwan mlivyokuwa mnamuongelea lukaku hamkulijua hilo au morata wenu alivyoanza kuvurunda ndo mmeyakumbuka hayo..????
Hhahaa nimekusomaaaMourinho anajua mpira, unaweza mchukia ila huwa anaweza kukufanya ukajiona falaaa! Ndio maana niliumia sana kitu walichomfanyia pale Chelsea. Hawa maniga wa inter nao wanatumia falsafa zile zile wanacheza wanakuacha ucheze ila wanakukaba hata goli hutaliona! Unakumbuka mechi ya Chelsea vs Man U? Walimaliza mpira bila shoot on target!
wewe nilikufunga 4-0 na huyo huyo mourinho wako, na pedro akakuweka goli la mapema zaidi,
Pamoja na kwamba ni pre-season haifurahishi timu yako ikifungwa. Hata kama mnacheza friendly na watoto. So ni jambo la kuangalia ni wapi hasa tunapelea. Sikuweza kuziangalia live mechi hizi za friendly kwa kukosa channel na live streaming inakatika katika. Ila kwa kuangalia youtube nahisi either ni kutilia msisitizo kwenye mazoezi ama tuwe wazi tunahitaji mabadiliko baadhi ya sehemu.
1. Kipa: Courtouis aidha anabweteka ama ndio kiwango chake kilipofikia. Ni kipa mzuri kama akiwa na beki nzuri ila kwa beki yetu (sisemi kama si nzuri kiivyo) inahitaji kipa a bit extra. Nataka kuamini kuwa anabweteka tu so akikaza atatusaidia sana.
2. Wing back wa kulia - Moses: Speed anayo nzuri na kocha kamuamini. Ila anajisahau kupanda sana. Na hata akipanda, cross zake haziko accurate kama ukimlinganisha na Alonso. Too much dribbling na cross ineficient..he needs to practice his shooting ama we need to buy a better left wingback.
3. Matic: Pamoja na kwamba tunamponda na pamoja na kwamba Fabregas tunamhitaji sana ni aidha Matic arudi tuwategemee our attacking three kufunga ama tuwe na Fabregas kisha tufungwe na kufunga pia. Fabregas akiitahidi kumsaidia Kante kukaba nadhani itatusaidia. Nadhani Conte anataka kumtumia Fabregas zaidi na ndiyo maana anampanga na Kante so tuamini kuwa by the time ligi inaanza watakuwa wamezoeana na kudominate midfield. Kinyume na hapo hata tukishinda wachezaji watatoka wamechoka na kwa hali hii ligi haitoisha watapata burn-out.
4. Hazard: uwepo wa attacking midfield ambaye ana uwezo wa kufunga magoli ni muhimu sana. sidhani kama kwa wachezaji tulionao tunaweza kuchezesha striker wawili (mitchy na morata). Kwa nilivyomuona Morata pamoja na kwamba sio striker wa callibre ya Costa lakini anaweza kucheza kama winger na kwa wachezaji tulionao, tukiweza kudhibiti midfield basi itakuwa raha sana. Maana mabeki hawatajua nani atafunga (Hazard, Willian, Morata, Pedro, Batshuayi).
In short kwa ligi naamini tunaweza ku-dominate ila kwa ulaya sidhani kama kwa kikosi chetu tunaweza kufika mbali labda kwa ngekewa.
Juzi Conte aliiongelea Bayern..kikosi cha Bayern kweli kipo vizuri sio waliopo uwanjani, hata benchi ukiliangalia unaogopa! We need to get to that level. Ni kweli huwezi kununua kikosi kizima msimu mmoja na kujenga hiyo timu kunahitaji muda so kama Abramovic akimuamini Conte akabaki nasi misimu ya kutosha, naamini tutafikia huko kwa kina Bayern.
Kwa ligi yetu, nikiwaangalia Manchester City ndiyo timu pekee inayonitisha kwa sasa. Ukiangalia wanavyocheza na ambavyo kocha wao amebadili uchezaji wao na pairing (mfano kuwachezesha Aguero na Jesus pamoja) naamini ndiyo kikosi bora kwa sasa kwa ligi ya Uingereza.
Anyway, bado kuna muda wa kurekebisha makosa na kuwa stronger (kwa timu yoyote)..so tusubirie August.
Kwa sasa tunawasubiri Arsenal tu...sijui kama Hazard atakuwa ameshapona kabisa...na Pedro!???
Itakuwa vyema sana wakianza kufanya mazoezi pamoja na Morata kabla ya msimu ili kuwapa kuzoeana vyema.