Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,676
- 8,246
Phew! Mwezi wa tano umefika katika ku-compare points chelsick wamechukua ubingwa wanasema kwa kishindo baada ya kununua Premier League. Aibu
 
Hongereni sana kwa kutumia umafia wenu, nyinyi ni kama Chichiemu tu bila kugawa kofia, kanga na vikoi i.e. kutoa mpunga hamuwezi kufika popote, hadi tunapokwenda mitamboni mmeshindwa kutoa fweza za kutosha kununua Champion League, hata baada ya vitisho vya mauaji kwa marefa n.k. taratibu sana tunawaomba msiwaambukize wabongo kwenye haya madawa ya kulevya.
Kikojozi aka Masanilo vipi umekunywa kusheherekea ushindi vya kutosha angalia usiwe invisible tu au Taliban suporter. Rev Kishoka how do you live with yourself kwa kuwa-support mafia? Are you for real? Au ndio wanavyosema usifuate matendo yangu bali yale ninayosema?