Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

http://img.skysports.com/10/05/402x210/Chelsea-Premier-League-Title-Celebrations_2451619.jpg[/IMG

[IMG]http://img.skysports.com/10/05/800x600/Chelsea-Premier-League-Title-Celebrations_2451619.jpg
Chelsea break records to win title

Coach Carlo Ancelotti guided the Blues to their first Championship success since 2006 in his debut season in England as Chelsea took their tally to 103 goals - the highest in the Premier League since Manchester United in 2000 and the first to achieve the century since Tottenham in 1962-63.

Congratulations! see you next Season .
 
Amani iwe nanyi the blues, manake jirani zenu wangechukua pasingetosha mjini hapa. Hongereni sana na timu bora imechukua ubingwa na kuandika historia mpya.

Pongezi zaidi kwa Man U kwa kutoa mchango wa point 6, pia Arsenal na Liverpool kwa kila mmoja kutoa point 6 ama kwa hakika michango yao ni mikubwa na wanastahili pongezi, ingekuwa ajabu kwa Blues kutochukua kombe wakati mahasimu wamechangia kwa hali na mali.
 
Chelsea is leading by 1 goal scored by Anelka... Dakika ya 14 inakwenda hiyo

RESULTS:

jhvtcp.jpg

We are the Champs!


03drogba.jpg

Chelsea_cele_682x4_1040417a.jpg

CHAMPIONS ... Chelsea players celebrate their Premier League title triumph

MAJUMUISHO

Hongera Chelsea kwa USHINDI - Pamoja na Matatizo yote ya kuwakosa wachezaji wenu Mastaa kwa nyakati tofaut eg. Michael Essien, Bosingwa, John Cole, Ashley Cole lakini mmeonyesha bidii na kiu kubwa. Naweza sema kutolewa UEFA na Inter pia kumeshangia chachu ya ushindi wenu - Binafsi baada ya game ya Liverpool ilipoisha kwa ushindi basi nikajua sasa inaenda kwenye double for the first time in the history of this Club.

Hongera pia kwa kuwa club ya kwanza kufuga magoli mengi (103) tangu mashindano haya yaanzishwe pia Hongera kwa kukaribia kuweka Club history kwa kushinda Double endapo mtawafunga porthmouth kwenye Fainali ya FA jmosi.

Kipindi cha msimu kilivyoanza tuliona tactics safi ya Diamond Midfield, mfumo ambao ni mgumu kuucheza na kuufundisha lakini ukieleweka huwa ni wa kuvutia sana ambapo Essien, Belletti, Ballack, Lampard, Obi na Deco wote wakibadilishana kwa nyakati tofauti kutokana na choice ya kocha - Tulidorora baada ya Essien na Deco kuumia na tukapoteza game kadhaa ndipo kocha akabadili tena na kucheza wings na striker mmoja na wachezaji wawili pembeni yaani Anelka or Kalu kulia, Marouda or J.cole Kushoto na Didieee Kati ndipo tukaanza kuona vipigo mfululizo ya 4, 7 na 8 cha jana.

Kuumia kwa Ashley cole naweza kusema kulidhoofisha defence ya Chelsea katika game ya UEFA na inter, endapo angekuwa mzima basi tungeongea mengine, katika game ya marudiano pia Yury Zhirkov (wingi ambaye anaweza cheza beki wa kushoto) pia Akaumia kwa hiyo tukacheza na Malouda, hapo ikawa tatizo kwetu kuchangia kichapo cha 1-0 toka kwa Josee tukiwa darajani.

Binafsi Kikosi cha chelsea kimekamika sana idara zote kwa sasa, tunategemea kuwa na Bosingwa na Essien fiti msimu ujao kwa hiyo hatuhitaji major Transfer next season may be one or two - Aguerro kama atatua Darajani itakuwa big boost sababu tunahitaji mchezaji kwenye kipaji cha pekee.

Kawaida Chelsea haina wapenzi wengi, binafsi najipongeza kwanza kuwa mshabiki wa timu ya darajani -na washabiki wenzangu wa Chelsea wote. Kinachonifurahisha zaidi ni uongozi wa club yenye uchu wa ushindi - Roman ni mtu kwenye nia ya ushindi, shabiki number 1 wa Chelsea, Mwepesi kuchukua maamuzi magumu kwake tatizo la contract huwa halipo akiamua kumfukuza kocha kwa manufaa ya timu basi anafanya hivyo mara moja. Kumbukeni baada ya kichapo na inter ilibidi baada ya game aende dressing room kuwaambia wachezaji - Ninyi ni wachezaji wazuri au Ninyi ni wachezaji mnaolipwa vizuri" kisha akaondoka.

Hongera sana INVISIBLE, hongera pia kutuhabalisha live game ya jana, mimi nilikuwa offline kwa JF lakini nilishangilia sana hasa goli la kichwa la didieeeeee -

We look forward for FA CUP on sat to wind up this season with the DOUBLE.
 
maanake kila ubingwa lazima uwe na historia yake

Drogba= Aliuchukua Mpira wa ile Mechi (hati tiriki)
Droba= alichukua Kiatu cha Dhahabu (Top goli scora)
Drogba= Mchezaji Bora wa Chelsea 2009/2010
Drogba= akalibeba Kombe (Chelsea 2009/2010 Champion)

Basi ni raha iliyoje, japo tutaikamilisha hii starehe siku ya FA Final na Portsmouth
 
Hongereni wapinzani kwa kunyakua EPL...It was a very exciting race.
We will be back next season.!
 
Wakuu,

Leo mashabiki wa darajani wote wamechukua 'sick day off' kusherehekea hii achievement.
Hapa nilipo bia tamu kweli kweli maana imenunuliwa na shabiki wa Man U f'lani aliyekua
mbishi pasipo sababu.

We Believe!!!!
 
In Terry We Believe!!!!

John-Terry-Chelsea-Premier-League-Title-Celeb_2451678.jpg


Mahasidi hebu mkajinyonge, waswahili wala vyao.


John-Terry-Toni-Poole-Chelsea-Premier-League-_2451667.jpg


John-Terry-Toni-Poole-Chelsea-Premier-League-_2451683.jpg

Terry gets a congratulatory kiss from his wife.
 
Carlo-Ancelotti-Chelsea-Premier-League-Title-_2451684.jpg


Ancelotti adds a Premier League title to his CV and could still do the double if Chelsea win the FA Cup final on Saturday
 
In Terry We Believe!!!!

John-Terry-Chelsea-Premier-League-Title-Celeb_2451678.jpg


Mahasidi hebu mkajinyonge, waswahili wala vyao.


John-Terry-Toni-Poole-Chelsea-Premier-League-_2451667.jpg


John-Terry-Toni-Poole-Chelsea-Premier-League-_2451683.jpg

Terry gets a congratulatory kiss from his wife.

Chelsea Striker Didier Drogba: Our Solidarity During John Terry Scandal Was The Turning Point In The Season

Didier Drogba has admitted that the manner in which the Chelsea squad overcame the ‘storm' of John Terry's off-the-field problems proved the turning point in their season.

"We showed solidarity between us just as we've always done each time the club is in the middle of a storm," Drogba told France Football magazine.

"I think it was a key moment of our season because we were losing points on the field and Terry was not performing as well as usual."
 
chelsea_hero
chelsea_hero


Niliagiza huu uzi niuvae jana umewasili leo! Nitaupiga siku tunacheza na Pompey.......Bluez for life


attachment.php
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom