sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,852
kila la kheri kwenu.Kila mmoja ashinde kwa juhudi zake sio kutegemea timu nyingne imfunge, sisi tunashinda mechi zote, Tot naye ashinde zote halafu tujue kombe linaenda wapi? The blueeesss
kila la kheri kwenu.Kila mmoja ashinde kwa juhudi zake sio kutegemea timu nyingne imfunge, sisi tunashinda mechi zote, Tot naye ashinde zote halafu tujue kombe linaenda wapi? The blueeesss
Vipi ulikwepo kuangalia mechiWeek hii lzm tumsikie mtangazaji wa ESPN:
'Romeru Enama Kongolo Lukaku is getting better and better'
Hapo huwa najua tayari kawachapa kimoko!
Everton 2 Chelsea 1
Pole yako mkuu. Naona Swansea kakutoa josho. Everton 0 vs 3 Chelsea. Najua unaugulia ugonjwa wa mawazokesho lazma Chelsea alizwe asee
Vip umemwambia *see you told him*![]()
![]()
![]()
![]()
ntakuwepo hapa kukwambia
"see? i told you so!"
Ananjaaa kwa manure na arsenal n.a. liverlooserheeheheee
tena lukaku alivo na machungu sku hizi
keshi tot ana close gap
Siyo kuacha mmeshajua mziki wake. Kama Swansea wanawatoa joto. Spurs atawakalisha tano nungehamna na man utd wameamua mwaka huu kwa hasira wana acha tot awafunge
Wew wa kwako watakokupa title wako wapi.....????. Ivi huyu malafyale huwa anaumwa nin manake jamaa akomi kama washabiki wa arsenal though siku izi wamegive up. Malafyale utaugua ugojwa wa pressureUbingwa huo bye bye
Mlitangulia kwa baiskeli ya miti
Lukaku anawapiga
Totenham easily anampiga Arsenal then rasmi WBA ndiyo atawaonyesha kama hamna team ya kuwa mabingwa
The standards of first 11 players such as Mosses and Alonso cant give you a title!
Mind the gap broheeheheee
tena lukaku alivo na machungu sku hizi
keshi tot ana close gap
Hamna uwezo wa kumfunga spurs hata msijiteteehamna na man utd wameamua mwaka huu kwa hasira wana acha tot awafunge
Huo ndo mpango mzimaKila mmoja ashinde kwa juhudi zake sio kutegemea timu nyingne imfunge, sisi tunashinda mechi zote, Tot naye ashinde zote halafu tujue kombe linaenda wapi? The blueeesss
Siyo kuacha mmeshajua mziki wake. Kama Swansea wanawatoa joto. Spurs atawakalisha tano nunge
Fujo gani mkuu. Wakati Swansea kakuklisha![]()
![]()
![]()
![]()
umeanza fujo eeh
Mind the gap bro
Hamna uwezo wa kumfunga spurs hata msijitetee
tuna deal na europaFujo gani mkuu. Wakati Swansea kakuklisha
Ubingwa huo bye bye
Mlitangulia kwa baiskeli ya miti
Lukaku anawapiga
Totenham easily anampiga Arsenal then rasmi WBA ndiyo atawaonyesha kama hamna team ya kuwa mabingwa
The standards of first 11 players such as Mosses and Alonso cant give you a title!
hivi mshabiki wa mediocre team anakujaje kupiga kelele kwa team yenye wordclass players!!! Bora ujifariji kwa Hilo kuliko kutokwa na povu kavu. Cheki sasa ulivyoaibika n.a. utabiri wako uchwara. Chelsea utaipenda tuuuutuna deal na europa
top four siyo kombe mkuu
WattfordMiddlesbrough, West Bromwich, Sunderland Ndo ninazojua hatujacheza nazo 2nd leg team gani nyingine?? Maana bado game4
bado ligi aijesha,punguza spid mkubwa!Bora ujifariji kwa Hilo kuliko kutokwa na povu kavu. Cheki sasa ulivyoaibika n.a. utabiri wako uchwara. Chelsea utaipenda tuuuu
Asanthe sana kwa pongezi, ila mnanifanya nifikirie kivumbi cha next season maana ni hatari![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
mmejitahidi asee