Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Magoli yote ya jana yamefungwa na vijana wa Chelsea, Romeo na Betrand wote ni X-Chelsea
Hahaha mkuu umenifanya nimekumbuka dingi. Kuna wakati dogo langu moja alikuwa wa kwanza darasani alafu mwingine akawa wa misho kwenye darasa hilo hilo. Yaani dingi alitembea kifua mbele kitaani huku anatamba jinsi familia yake ilivoongoza idara zote
 
Crystal anampumlia mtu huko.
Pengine naweza sema msimu huu hii ndo imekuwa timu ngumu kwa vigogo wa England
 
Chelsea U-18 wameshinda kombe la FA leo hii (FA Youth Cup) baada ya kuifunga Manchester city 6-2 on aggregate.

3FA3300800000578-4449080-image-a-55_1493240707610.jpg

Chelsea U-18 FA Youth Cup Winner 2017

3FA2C39600000578-4449080-image-a-26_1493237797831.jpg

Antonio Conte na Abramovich walikuepo kuangalia ushindi huo.

IMG_20170427_005249.jpg

John Terry na Frank Lampard pia walikuepo Stanford Bridge kuangalia ushindi huo wa vijana

Mwendelezo wa U-18 kwenye FA Youth Cup
2010: Winners
2012: Winners
2013: Finalists
2014: Winners
2015: Winners
2016: Winners
2017: Winners

Utter dominance.
 
Week hii lzm tumsikie mtangazaji wa ESPN:
'Romeru Enama Kongolo Lukaku is getting better and better'
Hapo huwa najua tayari kawachapa kimoko!
Everton 2 Chelsea 1
 
Mechi ya everton ni ngumu, lakini wakicheza open play yao imekula kwao maana ni spurs tuu ndo alitupiga kwenye open play bila kucheza defensive tangu tuchange formation.

Clean sheath siioni ila i hope foward line yetu itawaoutscore everton kama ilivyofanya kwa wengine.

Wishing ourselves good luck
 
Week hii lzm tumsikie mtangazaji wa ESPN:
'Romeru Enama Kongolo Lukaku is getting better and better'
Hapo huwa najua tayari kawachapa kimoko!
Everton 2 Chelsea 1
Yaan mkuu tabiri zako kama mtu hakujui anaweza ogopa hatari, kumbe hakuna kitu unaongea matamanio yako na kutaka yawe kweli......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom