mtzmweusi
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 8,697
- 9,051
Everton lazima wamsimamishe mtu zitabaki point 2 maana Arsenane lazima afe hakuna namnatim everton tupo apa
Everton lazima wamsimamishe mtu zitabaki point 2 maana Arsenane lazima afe hakuna namnatim everton tupo apa
kesho lazma Chelsea alizwe aseeEverton lazima wamsimamishe mtu zitabaki point 2 maana Arsenane lazima afe hakuna namna
umeongea vice versa hapomacho yao yalikuwa kwa southampton, tulivyowaoutscore sasa wanaji balaguza kwa everton, mark my words guys, sunday chelsea anashinda then spurs analala kwa arsenal. The Race will be over on sunday!!! KTBFFH!!!!![]()
![]()
![]()
time is a fairly judge!!!umeongea vice versa hapo
yeahtime is a fairly judge!!!
In other news timu yako haina hata uhakika wa kumaliza top 4 .kesho lazma Chelsea alizwe asee
In other news timu yako haina hata uhakika wa kumaliza top 4 .
![]()
![]()
![]()
![]()
ntakuwepo hapa kukwambia
"see? i told you so!"
And vice versa is true.....Siku mkiomba njaa ndo tunashinda kama haujui sasa!!!kesho lazma Chelsea alizwe asee
heeheheeeSiku mkiomba njaa ndo tunashinda kama haujui sasa!!!
Mkikaa kimya ndo tunapotezaga
nadhani hata ikitokea chese amefungwa tunategemea man u atampiga toten hapo gape litabaki point 4heeheheee
tena lukaku alivo na machungu sku hizi
keshi tot ana close gap
hamna na man utd wameamua mwaka huu kwa hasira wana acha tot awafungenadhani hata ikitokea chese amefungwa tunategemea man u atampiga toten hapo gape litabaki point 4
kwanini unapendelea toten achukue na si chesehamna na man utd wameamua mwaka huu kwa hasira wana acha tot awafunge
tutapata shda mitaani akichukua chlskwanini unapendelea toten achukue na si chese