The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,396
- 103,819
Cahill
2-0
2-0
yuko serious anataka kuvaa viatu vya terryCahill
2-0
Walikuepo ila hawataongea tenana leo pia mtapita kimya kimya tu..
world 0-3 Chelsea.
KTBFFH
hahaha mzee wa mind the gapena leo pia mtapita kimya kimya tu..
world 0-3 Chelsea.
KTBFFH
Huyu muache tu tutamsajili msimu ujao bure kabisanaamini kabisa wewe unaipenda chese sina shaka na hilo
Ubingwa huo bye bye
Mlitangulia kwa baiskeli ya miti
Lukaku anawapiga
Totenham easily anampiga Arsenal then rasmi WBA ndiyo atawaonyesha kama hamna team ya kuwa mabingwa
The standards of first 11 players such as Mosses and Alonso cant give you a title!
cheka kwa dharau kabisa. Naamini utarudi tena kusema Boro atatufunga kisa katoa draw na Man City, unakaribishwa sana.Ukweli mtupu usiopingikaUbingwa wetu