![]()
![]()
![]()
![]()
ntakuwepo hapa kukwambia
"see? i told you so!"
You see? I told you so!![]()
![]()
![]()
![]()
ntakuwepo hapa kukwambia
"see? i told you so!"







Karibu..! Ongeza sala Arsenal washinde weekend ijayo nakuahidi kipapatio..hongereni kwa ushindi.

Hawa jamaa mwanangu wanazingua ghafla wamepiga bila hata kudhania. Kweli kila moja atabeba mzigo wake mwenyewe aiseeearsenal wamepigwa tena cha pili hehehe dawa ya toten ni kila mmoja ashinde mechi zake tuone bingwa atakuwa nani
ukirudi uende ukawape pole arsenal.Kazi kwenu Arsenal...wacha niende zangu kanisani tukutane baadaye kwa mapichapicha
ah wapi bora ashinde jiwe lakini siyo arsenal.Karibu..! Ongeza sala Arsenal washinde weekend ijayo nakuahidi kipapatio..![]()
![]()
![]()
Kila mmoja ashinde kwa juhudi zake sio kutegemea timu nyingne imfunge, sisi tunashinda mechi zote, Tot naye ashinde zote halafu tujue kombe linaenda wapi? The blueeesssah wapi bora ashinde jiwe lakini siyo arsenal.