dume la kenge
Senior Member
- Apr 12, 2017
- 177
- 240
Mkuu mi mwenye mtaani wamenizunguka kazini ndo usiseme wananipigia kelele sana hawa manyoo. Yaani mechi za chelsea zimewakaa kichwani kuliko za kwao.Bora ujifariji kwa Hilo kuliko kutokwa na povu kavu. Cheki sasa ulivyoaibika n.a. utabiri wako uchwara. Chelsea utaipenda tuuuu
CFC
KTBFFH