OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Mkuu mi nakwambia, huna uwezo wa kumpiga celta Vigo wewee ...mapema sanaa gemu itaisha 3-1 ...halafu wakija otii wanawalazimisha droo. ..bisha sasaa!hahaha
acha hizo wewe
bingwa mtarajiwa wa Europa

