Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

3F7ED0DC00000578-4435678-Harry_Kane_improvised_with_a_backward_directed_header_to_draw_Sp-a-4_1492883046567.jpg

Dogo kacheza vizuri sana leo....
Huyu dogo ile nafasi ndio inayomfaa na wala sio wing-back. Nimeelewa kwanini anakaa benchi maana ngumu kumtoa Cahill pale.

Anaweza hata kuanza game ya jumanne huyu kwa Southampton
 
View attachment 499882
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Conte kashajua hilo, ndo maana anasema we are building something important for the team

Raniel ndiye aliyejenga team iliyokuja kuwa tishio epl ndani ya miaka almost 15, kiukweli team ni mpya mno na inatakiwa ianze kujengwa upya ili tusumbue kama miaka ya 2005-2012

Swali linakuja je wachezaji waliopo wako tayari??

Maana huko juventus kocha aliyepo massimilano allegri karekebisha vitu vichache tuu na team inatishha lakini msingi uliachwa na conte

Tuombe wachezaji wetu waendeleze upendo wao kwa coach ndo itawezekana, its burning me inside to see when we are going to repeat 2012 big occasion KTBFFH
 
Yaani kazi yote ile ya jana na kupambana kote kule jamaa asipate haki yake!! Yeye mwenyewe asingejisikia kama kajitendea haki, well done kante for a yellow card[emoji2] [emoji2] [emoji2]
58f628472b16d66d47000001.jpg
 
Mkuu hiyo game ilikua ni knock out... Na ilikua km dk 90 bado team zilikua sare lazima kwenda Extra Time.

Sasa lazima uwe na mikakati ya team kua na nguvu na kua tayari kucheza muda wote mpk 120.

Sasa nilipoona Faby, Hazard na Costa wako nje na Spurs alikua na Walker tu nikaona strength ya Spurs haiwezi kufika ata dk 120. Maana wakiinuliwa tu hao wachezaji wa Chelsea na kuingia basi Spurs lazima wawe ktk Hali mbaya.

Leo Conte kanifurahisha sn hajachelewa kufanya sub km siku ya Man Utd. Kazifanya mapema sn.

Hongera sn wana Chelsea wenzangu woooote. [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji123][emoji123][emoji123][emoji111][emoji111][emoji111]

[HASHTAG]#Once[/HASHTAG] [HASHTAG]#Blue[/HASHTAG] [HASHTAG]#Always[/HASHTAG] [HASHTAG]#Blue[/HASHTAG] [emoji838] [emoji838] [emoji838] [emoji838] [emoji838]
Namna Bora kabsa ya kudeal na stubborn teams like spurs ndio hii ya conte! Una-reserve best weapons for the last shot & last breath!

Hazard & Costa + fabrigass walivyoingia spurs tayari walishatota tayari! Kazi ilikuwa kama kumsukuma mlevi tuu!

Conte is the master!
 
Mimi kwa leo natamani sana Arsenal ashinde jamani.

Mtanisamehe blues wenzangu lakini leo nitakuwa ninashabikia Arsenal. Baada ya muda nitahamia jukwaani kwao. Watafanya fainali yetu iwe rahisi kuliko kukutana tena na Guardiola..Silva..De Bruyne!!!
 
Naunga mkono
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu umenifanya nicheke mwenyewe

Kiukweli mpira wa miguu tunaushabikia tuu ila ni mchezo mmoja wa hovyo sana maana ndani ya dakika 5 unaweza fikwa na vitu ambavyo kiuhalisia ni ngumu kutokea we acha tuu

Bila shaka uliona spurs ganzi iliyowakuta baada ya goli la hazard yaan ni hatari!!
 
Mimi kwa leo natamani sana Arsenal ashinde jamani.

Mtanisamehe blues wenzangu lakini leo nitakuwa ninashabikia Arsenal. Baada ya muda nitahamia jukwaani kwao. Watafanya fainali yetu iwe rahisi kuliko kukutana tena na Guardiola..Silva..De Bruyne!!!
Sio peke yako kaka, ila naamini atae pita yeyote ni halali yetu
 
Namna Bora kabsa ya kudeal na stubborn teams like spurs ndio hii ya conte! Una-reserve best weapons for the last shot & last breath!

Hazard & Costa + fabrigass walivyoingia spurs tayari walishatota tayari! Kazi ilikuwa kama kumsukuma mlevi tuu!

Conte is the master!
Ulikuwa uamuzi wa hatari sana! Imagine Spurs kabla ya hizo sub (Hazard, Diego & Fab) angetufunga magoli ya kutosha; je, tungeweza kuyakomboa baada ya hizo sub? Anyway kwa vile uamuzi ule umeleta matokeo positive, basi Conte anastahili pongezi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom