Smart boy Shewedy
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 3,730
- 3,525
Acha uchizi mkuu,Mimi kwa leo natamani sana Arsenal ashinde jamani.
Mtanisamehe blues wenzangu lakini leo nitakuwa ninashabikia Arsenal. Baada ya muda nitahamia jukwaani kwao. Watafanya fainali yetu iwe rahisi kuliko kukutana tena na Guardiola..Silva..De Bruyne!!!
Chama la The Blues limeanzishwa kwa ajili ya mapambano, yeyote atakae kuja mbele yetu ni kupambana nae tuu hakuna namna nyingine...!!!
Piga ua mpaka kieleweke, hakuna kulala hadi waelewe kwamba Chelsea ni mojawapo klabu Bora ulimwenguni.